Mkataba wa kishenzi ni marufuku Tanzania, kama wana dhamira njema, mazungumzo yaanze upya

Nashangaa sana hii serikali, kitendo cha leo kusema watajenga bandari ya Bagamoyo kwa pesa zetu za ndani, wakijiona ndio wazalendo, kumbe ni wapumbavu wasiojielewa.

Huwezi kujenga bandari mpya ya Bagamoyo kwa kutumia fedha zetu za nsani, huku ukijua tayari kuna makubaliano uliyoingia mwanzo yatakayokuja kutuzuia kama taifa kujinufaisha kwa huo uwekezaji.

Unaenda vipi kujenga bansari ya Bagamoyo, ikiwa ulishampa mwarabu "Exclusive Rights" kwenye ule mkataba wao wa hovyo? hiyo bandari ni sawa na kusema wanaenda kumjengea mwarabu kwa pesa zetu za ndani.

Kwasababu mwarabu alishapewa nafasi ya kwanza kujulishwa juu ya fursa nyingine za kiuchumi zitakazojitokeza mbele ya safari, sasa kwa mazingira haya, watanganyika hatutakiwi kujiendeleza vyovyote kiuchumi wakati huu, kwasababu wajinga walishatuingiza mtegoni kwa rushwa waliyohongwa.
 
 
Wajinga ndio waliwao!
Changamoto ya kuongozwa na wajinga ni kwamba wote mnakuwa wajinga wajinga.
 
Jumapili 23/07/2023 tujae kwenye viwanja vya Buriaga kama siafu.
 
mshenzi ni mamako aliyezaa pumbavu ambalo hata lingefundishwa vipi haliwezi kuelewa
 
Mnakuja na mawazo ya kipunguani ya kukumbushia biashara ya watumwa mwaka huu 2023, kweli mmefilisika vichwani.

Mwarabu anamiliki bandari mbili pale Uingereza, hakuna anayekuja na mada za kijinga kama hizi.

Mwarabu anamiliki bandari sita kule China, hakuna mtu anayeanzisha mada za kipuuzi kama hizi.

Tatizo lenu kwa sababu mmetumwa na maadui zetu wa hapo Kenya wala hamna uwezo wa kuja na mawazo mbadala kwamba DPW hatufai lakini kifanyike hiki na hiki na kile kiachwe kabisa.

Mnazo akili zile zile za mtu mwenye macho anayepewa jukumu la kumsindikiza kipofu, mnadhani nchi hii imejaa vipofu.
 
Wakupe maua yako aisee
 
Hao wananchi wewe ni mmoja wa sehemu ndogo sana, kuna wafanyabiashara wanaoagiza vitu nje ya nchi na kuuza huko nje, hao utu wao ni wa muhimu pengine kuliko sisi wapiga makelele humu jukwaani tunachojua ni kulialia na kulalamika kutwa nzima.

Serikali inayotafuta uwekezaji ndio hiyo inayolipa mabilioni kila siku kwa uzembe tu wa ushushaji na upakiaji pale TPA, hautaki kuona mabadiliko ya kiufanisi?.

Unaweza ukatukana matusi yote unayoyajua halafu hujui chochote kuhusu bandari inavyofanya kazi.
 
Kwa nini usiende kulalamika kwa Mbunge wenu Kenan (yule Mdada Mfipa wa Sumbawanga) au kwa kina Halima 19? Mpigangumi ukutani huumiza mkonowe. CCM walishinda Uchagizi 2020 bita sinira uwaache nao watekeleze Ilani yao.
Wanasheria watasaini mikataba ya utendaji na hao DP World wataanza kazi pale bandarini wakiwaacha hawa kina Bams na machungu yao ya moyoni.
 
Hivi huyu Maza ana akili kweli!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…