Mkataba wa Koplo Ibra Bacca unasoma hadi mwaka 2027

Mkataba wa Koplo Ibra Bacca unasoma hadi mwaka 2027

Fundi kipara

Senior Member
Joined
Oct 27, 2019
Posts
125
Reaction score
247
Sio vibaya kukumbushana...!!!

Nipende kuwakumbusha ndugu zangu kwamba mkataba wa Koplo Ibra Bacca unasoma hadi mwaka 2027, yaani hapo akitoka anaenda Ulaya, mbali na hapo ataichezea Yanga milele tena milele amina😀.

Kuna Club moja ya Bundasliga inamhitaji lakini sitawaambia hamtaki kutunza siri nyie watu😂🙌

NB; Kama hamtaki basi, siwalazimishi🤗😀
 
Sio vibaya kukumbushana...!!!

Nipende kuwakumbusha ndugu zangu kwamba mkataba wa Koplo Ibra Bacca unasoma hadi mwaka 2027, yaani hapo akitoka anaenda Ulaya, mbali na hapo ataichezea Yanga milele tena milele amina[emoji3].

Kuna Club moja ya Bundasliga inamhitaji lakini sitawaambia hamtaki kutunza siri nyie watu[emoji23][emoji119]

NB; Kama hamtaki basi, siwalazimishi[emoji847][emoji3]
hana akili huyo, unajifungaje mkataba wa kimangungo hivyo?? weka mkataba mfupi unapanda thamani mnakaa mezani kujadili
 
Mikataba huvunjwa kwa maongezi ya pande zote mbili. Mayele alivunja mkataba wake kwa maongezi wakati bado anahitajika sana Yanga na bado leo ni rafiki mkubwa sana wa Yanga; Pyramids ilimnunua kutoka Yanga. Bacca akipata offer nzuri atavunja mktaba kwa mazungumzo na uongozi wa Yanga kusudi timu inayotaka huduma yake imnunune kutoka Yanga, siyo kama ule ujinga wa Fei Toto kuleta uswahili wa kula ugali na sukari kwenye mikataba aondoke kihunihuni bila kuuzwa.
 
hana akili huyo, unajifungaje mkataba wa kimangungo hivyo?? weka mkataba mfupi unapanda thamani mnakaa mezani kujadili
Uaya tunaona kusaini miaka minne ni kawaida. Hata hivyo unaweza ukaweka mkataba mfupi thamani yako ikashuka mkikaa mezani offer unapata kidogo kuliko ya mkataba uliopita
 
Sio vibaya kukumbushana...!!!

Nipende kuwakumbusha ndugu zangu kwamba mkataba wa Koplo Ibra Bacca unasoma hadi mwaka 2027, yaani hapo akitoka anaenda Ulaya, mbali na hapo ataichezea Yanga milele tena milele amina[emoji3].

Kuna Club moja ya Bundasliga inamhitaji lakini sitawaambia hamtaki kutunza siri nyie watu[emoji23][emoji119]

NB; Kama hamtaki basi, siwalazimishi[emoji847][emoji3]
Kutoka mwaka huu 2024 Hadi 2027 ni Miaka mitatu so is not a big issue...
Namtakia kila la kheri kamwe...
 
Back
Top Bottom