Fundi kipara
Senior Member
- Oct 27, 2019
- 125
- 247
Wakala WakeKwani wew ni chawa wa bacca?
hana akili huyo, unajifungaje mkataba wa kimangungo hivyo?? weka mkataba mfupi unapanda thamani mnakaa mezani kujadiliSio vibaya kukumbushana...!!!
Nipende kuwakumbusha ndugu zangu kwamba mkataba wa Koplo Ibra Bacca unasoma hadi mwaka 2027, yaani hapo akitoka anaenda Ulaya, mbali na hapo ataichezea Yanga milele tena milele amina[emoji3].
Kuna Club moja ya Bundasliga inamhitaji lakini sitawaambia hamtaki kutunza siri nyie watu[emoji23][emoji119]
NB; Kama hamtaki basi, siwalazimishi[emoji847][emoji3]
Uaya tunaona kusaini miaka minne ni kawaida. Hata hivyo unaweza ukaweka mkataba mfupi thamani yako ikashuka mkikaa mezani offer unapata kidogo kuliko ya mkataba uliopitahana akili huyo, unajifungaje mkataba wa kimangungo hivyo?? weka mkataba mfupi unapanda thamani mnakaa mezani kujadili
Kutoka mwaka huu 2024 Hadi 2027 ni Miaka mitatu so is not a big issue...Sio vibaya kukumbushana...!!!