Mkataba wa Simba na Sportpesa ulikuwa dhaifu

Hiyo chata ya Azam iko hapo ikiwa ndio imepewa haki ya kuonesha hiyo game sio kwamba ni mdhamini wa Simba mzee acha kujitoa ufahamu.
Simba haihusiki kabisa "kumtangaza" anayeonyesha kombe la shirikisho kuanzia hatua ya makundi.
Pia ni lazima ufahamu kwamba hiyo mechi ilionyeshwa na televisheni nyingi zilizopewa idhini na CAF.
Kwa East Africa idhini hiyo anayo Azam TV.
Kusini mwa Afrika idhini hiyo anayo DSTV kupitia supersports.
Unataka kunambia kwamba watu wa Afrika ya Kusini nao waliangalia hiyo mechi kupitia Azam TV ? Je, Orlando na wao walipost bango lenye nembo ya Azam TV au DSTV ?

Tazama hapa.




Ujinga haukumbatiwi.
 
Wanavaa hatua za awali ila hatua zinazofuata huko ndo hawavai kwasababu ya maslahi ya wadhamini ambao nao pia ni wadhamini wa CAF champion's league knock out stage sawa utopolo.
 
Kama manara alivyokuwa anafanya,ni mfano tu
 
Unaachana na sportpesa halafu unaenda kubandika logo ya mbet kwenye jezi zile zile ..!
 
Ukisain contract Na njaa hizo ndo impacts
 
Huyo mwehu achana naye

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Ila mwaka 2020 hautasahaulika. JF ilisajili Mazwazwa kuliko kipindi chochote cha uhai wake.
 
Bil 3 kwa mwaka??? Yanga si wanalipwa na AZAM hiyo pesa mzee??
Sigh si mngeenda uturuki sasa kama ni kweli
Milioni 200 za maandalizi ya pre season zimewashinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…