Jiwe Linaloishi
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 3,736
- 2,138
Shukrani mkuu ngoja tulidodose kwanza.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ubarikiwe mukulu..ngoja tulivulie shati tuliangalie kwa kina
Leo nimesikia huyu fisadi Marmo nimemsikia huko bungeni akikemea kwamba, kuwa na waraka ulio na mihuri yao "Wizi mkubwa" hapana "siri kubwa" "confidential" ni kosa kubwa sana. Hasa ukikutwa nao. Sijui hawaelewi kuwa kuwaibia wananchi ni kosa kubwa zaidi? Mi sijui wamejisahau kwamba nyaraka hizi ziko hapa jf na kwenye mitandao mingine mingi? Si tutaisomea humu na kuiacha humu huku tukiendelea kuwafunga kwa wizi wao dhidi ya watanzania?

Na ni siku hiyo ya hilo tangazo la maandamano ndio lilinifanya nijiunge na kutumia hili jina, lkn mpaka leo sijaona kitu..... nilifurahia sana jambo la kuandamana kwa kweliBig Up Tuandamane, Nimeamini Kweli Kwa Mwendo Huu Mafisadi Watakoma Mwaka Huu. Ila Naomba Kuuliza Hivi Yale Maandamano Yetu Wana Jf Yaliishia Wapi? Kwangu Mimi Naona Huu Ndo Muda Mwafaka!
Mega hivi hujag'amua kwamba na huyu Pinda ni msanii mzuri? Huku anasema matatizo ya TRL yanaanzia wizarani sijui na huku hizo wizara wanaziongoza wao na hakuna hatua kwa hao wakosaji sio, na huku anasema hivi na hivi. Ni msanii mzuri tu huyu.Hili swala Mizengo Pinda ameliongelea leo bungeni na kusema matatizo mengi yanayotokea TRL sisi wenywe ndio wakujilaumu. Watu wa wizara hawana njia nzuri za mawasiliano na TRL. Hii inafanya TRL wapate tabu wao kuweza kufanya shughuli zao za kila siku. Watu wa TRL walikwenda juzi kumueleza pm. PM kasema atalishulikia hiki kitu. Kasema kwamba anataka kila barua inayokwenda wizarani (yani wizara ya miundombinu) na copy iende kwake. Labda itasaidia kwa kiwango fulani