kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,839
- 2,475
Uoga peleka kwa wazazi wako
Toa upuuzi wako hapa. Watu wanakufa njaa we unasema stiglers. What is stiglers by the way before the hungry youngmen?View attachment 964505
Kesho historia inaandikwa. Serikali ya Tanzania itatiliana saini Mkataba na Kampuni ya ujenzi kutoka nchini Misri ambayo ilishinda Kandarasi ya ujenzi Wa Bwawa la kuzalisha Umeme la 'Stieglers Gorge'.
Bwawa la 'Stieglers' litakuwa na uwezo wa kuzalisha Mega Wati 2100 za umeme, kiwango ambacho kitakuwa ni zaidi ya mahitaji ya nchi na hivyo kuiwezesha Tanzania kuuza umeme nje ya nchi.
Hatujaelewana na Norway.Hivi ule wa mtwara umeishia wapi?
Raisi atawachukuliaje hatua watendaji wake wakati wanatekeleza matakwa yake?Nafurahi tuna miradi mizuri sana ila tatizo langu sioni workable and tangible Business plans za kuhakikisha returns on investment pamoja na faida vinapatikana. Tunaweza kubishana kwa hilo lakini mifano hapo chini inaakisi mashaka yangu;-
- Mradi wa Bomba la gesi huge (36") hadi sasa linatumika kwa asilimia 10% tuna mtambo mmoja wa kisasa kabisa wakuchakata gesi kwa sasa ni white elephanti (Hauzalishi) pale Songo Songo huu ni kama mwaka wa tatu sasa kama sikosei
- ATCL sasa tuna ndege za kutosha na nyingine zaja mwezi huu, lakini hadi sasa hivi sijaona Dreamliner (long rage aircraft) ikifanya commercial trip kama ilivyokusudiwa.
- TAZARA kila mtu anajua habari zake
Investments lazima ziendane na masoko ili fedha zetu zitupe faida iliyo kusudiwa.
Natamani sana Rais awachukulie hatua stahiki watendaji husika hasa mawaziri na MDs.
You seem to be more short-sighted focused. Discussing about returns on investment of ATCL and similar investment within such short time really? No you are not serious!Nafurahi tuna miradi mizuri sana ila tatizo langu sioni workable and tangible Business plans za kuhakikisha returns on investment pamoja na faida vinapatikana. Tunaweza kubishana kwa hilo lakini mifano hapo chini inaakisi mashaka yangu;-
- Mradi wa Bomba la gesi huge (36") hadi sasa linatumika kwa asilimia 10% tuna mtambo mmoja wa kisasa kabisa wakuchakata gesi kwa sasa ni white elephanti (Hauzalishi) pale Songo Songo huu ni kama mwaka wa tatu sasa kama sikosei
- ATCL sasa tuna ndege za kutosha na nyingine zaja mwezi huu, lakini hadi sasa hivi sijaona Dreamliner (long rage aircraft) ikifanya commercial trip kama ilivyokusudiwa.
- TAZARA kila mtu anajua habari zake
Investments lazima ziendane na masoko ili fedha zetu zitupe faida iliyo kusudiwa.
Natamani sana Rais awachukulie hatua stahiki watendaji husika hasa mawaziri na MDs.
Bomba la gesi ya Ntwala baba tulipigwa sio kawaida, mkataba ule hata Chifu Mangungo akifufuka leo akaulinganisha naule wake aliosaini na Mzee Carl Peters atatucheka sana, sasa Pombe kuona gesi imekuwa kaa la moto akaamua kuwapiga kanzu hawa wakoloni weusi kwa kuzalisha umeme wa maji kwa mamegawatt kibao,mradi ukikamilika hatununui tena hii gesi labda waipikie chimpumu ku***nina zao! Mungu ibariki Tanzania>Nafurahi tuna miradi mizuri sana ila tatizo langu sioni workable and tangible Business plans za kuhakikisha returns on investment pamoja na faida vinapatikana. Tunaweza kubishana kwa hilo lakini mifano hapo chini inaakisi mashaka yangu;-
- Mradi wa Bomba la gesi huge (36") hadi sasa linatumika kwa asilimia 10% tuna mtambo mmoja wa kisasa kabisa wakuchakata gesi kwa sasa ni white elephanti (Hauzalishi) pale Songo Songo huu ni kama mwaka wa tatu sasa kama sikosei
- ATCL sasa tuna ndege za kutosha na nyingine zaja mwezi huu, lakini hadi sasa hivi sijaona Dreamliner (long rage aircraft) ikifanya commercial trip kama ilivyokusudiwa.
- TAZARA kila mtu anajua habari zake
Investments lazima ziendane na masoko ili fedha zetu zitupe faida iliyo kusudiwa.
Natamani sana Rais awachukulie hatua stahiki watendaji husika hasa mawaziri na MDs.
Its from where?Jamani....wewe una shida sio bure. Umeelewa nini kuhusu Arab Contractors? A company from Egypt?
leta leta ma info baba, kumbe stigler jiwe anapiga watu kanzu!? Lakini hii gas si ya kwetu na mkopo tulichukuwa wenyewe? Hebu dadavua pleaseBomba la gesi ya Ntwala baba tulipigwa sio kawaida, mkataba ule hata Chifu Mangungo akifufuka leo akaulinganisha naule wake aliosaini na Mzee Carl Peters atatucheka sana, sasa Pombe kuona gesi imekuwa kaa la moto akaamua kuwapiga kanzu hawa wakoloni weusi kwa kuzalisha umeme wa maji kwa mamegawatt kibao,mradi ukikamilika hatununui tena hii gesi labda waipikie chimpumu ku***nina zao! Mungu ibariki Tanzania>
Kama wapi kwa mfano tutauza huo umeme mkuu
UNESCO World Heritage Centre - Decision - 42 COM 7A.56Uoga peleka kwa wazazi wako
Hili ni jambo naita Milestone katika uchumi wa nchi hii.View attachment 964505
Kesho historia inaandikwa. Serikali ya Tanzania itatiliana saini Mkataba na Kampuni ya ujenzi kutoka nchini Misri ambayo ilishinda Kandarasi ya ujenzi Wa Bwawa la kuzalisha Umeme la 'Stieglers Gorge'.
Bwawa la 'Stieglers' litakuwa na uwezo wa kuzalisha Mega Wati 2100 za umeme, kiwango ambacho kitakuwa ni zaidi ya mahitaji ya nchi na hivyo kuiwezesha Tanzania kuuza umeme nje ya nchi.
Hata hao watumishi watanufaika na Stiglers gorgeTunaminya haki za watumishi,tunakomba hela za wastaafu ili tu tupate sifa na wala hatutaki kukiri kuwa hela zao ndio zinatumika kwenye baadhi ya miradi ya awamu hii!!
habari mbaya sana hii kwa wafuasi wa chadema
Kampuni ya Misri? aisee TISS imeshakufa,uwezo wa TISS upo kwenye kuteka,kuua,kupoteza na kuvuruga upinzani zaidi ya hapo TISS ya sasa ni uharo mtupu and I don't stand to be corrected...View attachment 964505
Kesho historia inaandikwa. Serikali ya Tanzania itatiliana saini Mkataba na Kampuni ya ujenzi kutoka nchini Misri ambayo ilishinda Kandarasi ya ujenzi Wa Bwawa la kuzalisha Umeme la 'Stieglers Gorge'.
Bwawa la 'Stieglers' litakuwa na uwezo wa kuzalisha Mega Wati 2100 za umeme, kiwango ambacho kitakuwa ni zaidi ya mahitaji ya nchi na hivyo kuiwezesha Tanzania kuuza umeme nje ya nchi.
Mbona umejichanganya sana.Kampuni ya Misri? aisee TISS imeshakufa,uwezo wa TISS upo kwenye kuteka,kuua,kupoteza na kuvuruga upinzani zaidi ya hapo TISS ya sasa ni uharo mtupu and I don't stand to be corrected...
Misri ni adui mkubwa wa siri wa Tanzania na mataifa yote yenye ziwa Victoria kwa Sababu ya mto Nile,ambao ndo mungu wa Misri,Misri haitaki mataifa hayo yatumie maji ya ziwa Victoria kwa gharama yoyote,na kuna baadhi ya mawaziri wa mataifa hayo wapo kwenye payroll ya siri ya Misri ili waweze kuhujumu miradi yoyote ya umwagiliaji,Misri inahofia mataifa hayo yakitumia maji ya ziwa Victoria kwa shughuli za kilimo,maji hayo yatapunguza kasi ya kumwaga kwenye mto Nile ambao chanzo chake ni ziwa Victoria.
Bila mto Nile hakuna Misri,kwa hiyo Misri lazima wahujumu mradi wa stigler hawawezi kufanya kiufanisi ni lazima watuhujumu tu kwa mbinu wanazojua.
Ni sawa na Leo wapewe tenda Ethiopia ni lazima watalipiza kisasi baada ya Ethiopia kuutumia mto Nile kujenga bwawa kubwa la umeme.
Misri hujiona ina haki sana na maji ya ziwa Victoria na ina haki sana na mto Nile kuliko mataifa yote.
CCM TOKENI SASA YATOSHA...