kinyama nje
JF-Expert Member
- Jul 3, 2017
- 1,839
- 2,475
jiwe anapiga kazi tuache unafiki pia anatekeleza ahadi. kuna mdau hapa alileta uzi enzi ya jk alidhulumiwa golofa pale mnara wa saa na wakubwa wa enzo hizo. akachemka mahakamani hata huko wizara ya ardhi.
habari nilizopata hivi punde kalejeshewa kila kitu. maana kasheshe hili lilipelekea mama yake kufa kwa presha mwenye ule uzi anaweza weka hapa kura yangu naona kabisa inaenda kwa jiwe kama ndio hivi
habari nilizopata hivi punde kalejeshewa kila kitu. maana kasheshe hili lilipelekea mama yake kufa kwa presha mwenye ule uzi anaweza weka hapa kura yangu naona kabisa inaenda kwa jiwe kama ndio hivi