Mkataba wa ujenzi wa Bwawa kuzalisha umeme a 'Stieglers Gorge' kusainiwa kesho tarehe 12/12/2018

Akili simple huwezi kuchangia Uzi wangu pita ukalale
 
Kwa taarifa yako chanzo cha mto Rufiji hakihusiani kabisa na ziwa Victoria au mto Kagera wala mto Nile.
 
Yale mambo ya kinyerezi one and two au mtwara gas yameishia wapi??
 
kuuza umeme nchi za nje? nchi gani hizo, ethiopia iko na shinda ya kuuza yake,
 
ubaya mkuu wa magufuli ni kuwa anasema mara kwa mara "mimi sijibiwi" yaani yale kicha chake kinataka ndio hufanyika, hii mradi ni wa kula hela bila returns, wapi wawekezaji wa kutosha kutumia hii moto, na bado tuko na gas
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…