Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kenya. Mega Watt 400.Ule umeme wa Ethiopia uliishia wapi?
Akili simple huwezi kuchangia Uzi wangu pita ukalaleMbona umejichanganya sana.
Maana kwa maelezo yako ya awali ilitakiwa mwisho Wamisri waunge mkono huu mradi maana utaiweka Mbali Tanzania na matumizi ya maji ya Ziwa Victoria.
Lakini unaonesha watahujumu huu mradi sijui kwa akili za wapi. au Mto Rufiji unamwaga maji Victoria kwa Jiografia uliyosoma kwenu huko kaparamsenga.
Wewe naye unakurupuka tu hata hufikirii,iko wapi gesi yetu ya asili? ambayo kimsingi ndo ingezalisha umeme na siyo huo upuuzi wa stigler ulioharibu mbuga bora za wanyamaHili ni jambo naita Milestone katika uchumi wa nchi hii.
Kwa uamuzi huu nitampa 100% mh Magufuli.
Kwa taarifa yako chanzo cha mto Rufiji hakihusiani kabisa na ziwa Victoria au mto Kagera wala mto Nile.Kampuni ya Misri? aisee TISS imeshakufa,uwezo wa TISS upo kwenye kuteka,kuua,kupoteza na kuvuruga upinzani zaidi ya hapo TISS ya sasa ni uharo mtupu and I don't stand to be corrected...
Misri ni adui mkubwa wa siri wa Tanzania na mataifa yote yenye ziwa Victoria kwa Sababu ya mto Nile,ambao ndo mungu wa Misri,Misri haitaki mataifa hayo yatumie maji ya ziwa Victoria kwa gharama yoyote,na kuna baadhi ya mawaziri wa mataifa hayo wapo kwenye payroll ya siri ya Misri ili waweze kuhujumu miradi yoyote ya umwagiliaji,Misri inahofia mataifa hayo yakitumia maji ya ziwa Victoria kwa shughuli za kilimo,maji hayo yatapunguza kasi ya kumwaga kwenye mto Nile ambao chanzo chake ni ziwa Victoria.
Bila mto Nile hakuna Misri,kwa hiyo Misri lazima wahujumu mradi wa stigler hawawezi kufanya kiufanisi ni lazima watuhujumu tu kwa mbinu wanazojua.
Ni sawa na Leo wapewe tenda Ethiopia ni lazima watalipiza kisasi baada ya Ethiopia kuutumia mto Nile kujenga bwawa kubwa la umeme.
Misri hujiona ina haki sana na maji ya ziwa Victoria na ina haki sana na mto Nile kuliko mataifa yote.
CCM TOKENI SASA YATOSHA...
Ndiyo Mkuu, Njaa Kali tuna vyeti vimekuwa magaodoro ya Mende tuMisri,vipi unataka ukaombe kibarua?
Kwa jibu hili tuu tayari umeshajionesha UWEZO wa Akili yako ni kiasi gani.Akili simple huwezi kuchangia Uzi wangu pita ukalale
Huna unalojua wewe,mada nzito unailetea hoja za chekechea,nenda kalale mkuu,nakushauri uende FB huko ndo panakufaaKwa jibu hili tuu tayari umeshajionesha UWEZO wa Akili yako ni kiasi gani.
kuuza umeme nchi za nje? nchi gani hizo, ethiopia iko na shinda ya kuuza yake,View attachment 964505
Kesho historia inaandikwa. Serikali ya Tanzania itatiliana saini Mkataba na Kampuni ya ujenzi kutoka nchini Misri ambayo ilishinda Kandarasi ya ujenzi Wa Bwawa la kuzalisha Umeme la 'Stieglers Gorge'.
Bwawa la 'Stieglers' litakuwa na uwezo wa kuzalisha Mega Wati 2100 za umeme, kiwango ambacho kitakuwa ni zaidi ya mahitaji ya nchi na hivyo kuiwezesha Tanzania kuuza umeme nje ya nchi.
Mradi una kamilika lini?mzalendoRoho mbaya haiwezi kuwaacha Salaama
Jenereta kesho kalipie kibali!sisi ni mwendo wa kod 2!habari mbaya sana hii kwa wafuasi wa chadema
ubaya mkuu wa magufuli ni kuwa anasema mara kwa mara "mimi sijibiwi" yaani yale kicha chake kinataka ndio hufanyika, hii mradi ni wa kula hela bila returns, wapi wawekezaji wa kutosha kutumia hii moto, na bado tuko na gasNafurahi tuna miradi mizuri sana ila tatizo langu sioni workable and tangible Business plans za kuhakikisha returns on investment pamoja na faida vinapatikana. Tunaweza kubishana kwa hilo lakini mifano hapo chini inaakisi mashaka yangu;-
- Mradi wa Bomba la gesi huge (36") hadi sasa linatumika kwa asilimia 10% tuna mtambo mmoja wa kisasa kabisa wakuchakata gesi kwa sasa ni white elephanti (Hauzalishi) pale Songo Songo huu ni kama mwaka wa tatu sasa kama sikosei
- ATCL sasa tuna ndege za kutosha na nyingine zaja mwezi huu, lakini hadi sasa hivi sijaona Dreamliner (long rage aircraft) ikifanya commercial trip kama ilivyokusudiwa.
- TAZARA kila mtu anajua habari zake
Investments lazima ziendane na masoko ili fedha zetu zitupe faida iliyo kusudiwa.
Natamani sana Rais awachukulie hatua stahiki watendaji husika hasa mawaziri na MDs.
No tumehamia stigilarz gerge mzee baba!Wa gesi umeishia wapi