Mkataba wa ujenzi wa Bwawa kuzalisha umeme a 'Stieglers Gorge' kusainiwa kesho tarehe 12/12/2018

Ifike kipindi tuitishe mjadala wa kitaifa juu ya hii kauli ya "suala la umeme litakuwa la kihistoria"
 
Rais atakua rasmi dodoma kabla ya mwaka mpya,
 
Arab contractors?

Nnachojua Hydro powers zilizopo zimejengwa na Europian countries:Mtera na Pangani Falls!Hawa Waarabu ni lini walianza hii biashara?
Jina la Mkandarasi ni nani na anajenga kwa bei gani?Je,ni mkopo au Fedha za ndani?
 
Tunaminya haki za watumishi,tunakomba hela za wastaafu ili tu tupate sifa na wala hatutaki kukiri kuwa hela zao ndio zinatumika kwenye baadhi ya miradi ya awamu hii!!
Vizuri kwa kutambua hilo....mishahara,posho,vikao,na pesa za wastaafu zitajenga miradi ya serikali mpka iishe ndo hvyo vitaanza kutolewa:::remember nipo jikoni
 
Mi jamaa namkubari! akikuambia hiki kinyesi habadili hilo atakuambia kila siku hiki kinyesi si mwanasiasa mzuri ila ni mtendaji mzuri sana maana ubaya wa wanasiasa sana maneno laini mengi sana hakuna utekelezaji wao
 
Ndugu yangu leo nimekuona tena nilikuambia JPM Stiegler's Gorge utajengwa tu iwe mvua lije juwa! Kwasasa hamna chochote CDM cha kumyumbisha Rais wetu! Mkataba ndiyo huo umesema Trillion 6 according tu tathimini na katika ujenzi wa miundombinu kama hiyo inapojengwa lazima kuna vitu vya ziada uwa munakubaliana hiki kiwepo au lah atakuja kujenga mwingine...!

Reli ya SGR ile mwakani tunaenda kumaliza phase 1.......pole sana kwa msiba uliowakuta awamu ya tano si ya kunywa wisk Ikulu vibaka marufuku kuingia.
 
Nnachojua Hydro powers zilizopo zimejengwa na Europian countries:Mtera na Pangani Falls!Hawa Waarabu ni lini walianza hii biashara?
Jina la Mkandarasi ni nani na anajenga kwa bei gani?Je,ni mkopo au Fedha za ndani?
Majibu utayapata leo! usikae mbali na kiradio chako.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…