Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wapi gesi, wali makaa ya mawe,Umeme huu huu
Umeme again
The same Umeme
Saaaafi kanyaga twende
Wapiwali
Sijui huu wa huyo Stiglers gorge utaandika historia ipi?!
Bwawa na wastaafu wapi na wapi?Tunaminya haki za watumishi,tunakomba hela za wastaafu ili tu tupate sifa na wala hatutaki kukiri kuwa hela zao ndio zinatumika kwenye baadhi ya miradi ya awamu hii!!
Rais atakua rasmi dodoma kabla ya mwaka mpya,Cdm na watu waelewa wanawachora tu. Mliahidi mpaka December hii mtakuwa mmehamia dodoma. Mliahidi viwanda 100 kila mkoa, saa hii mnagawa vitambulisho vya bure kwa shilingi 20,000! Huo mradi kila siku rais alikuwa anasema ni wa shilingi 3t, sasa lugha imebadilika ni shilingi 6.5t. Ok hilo sio shida maana tumemzoea kwa uongo, je fedha zipo? Hapo ndio utajua ni usanii tu.
Arab contractors?
Ule uliishia palepale mtwaraHivi ule wa mtwara umeishia wapi?
Ule umeme wa Ethiopia uliishia wapi?
Hao wanaokufa njaa waache wafe serikali "haikuwazaa" aliyewazaaa ndio mwenye jukumu la kuwalisha si serikaliT
Toa upuuzi wako hapa. Watu wanakufa njaa we unasema stiglers. What is stiglers by the way before the hungry youngmen?
Vizuri kwa kutambua hilo....mishahara,posho,vikao,na pesa za wastaafu zitajenga miradi ya serikali mpka iishe ndo hvyo vitaanza kutolewa:::remember nipo jikoniTunaminya haki za watumishi,tunakomba hela za wastaafu ili tu tupate sifa na wala hatutaki kukiri kuwa hela zao ndio zinatumika kwenye baadhi ya miradi ya awamu hii!!
True kiongozi JPM jembe sana,anafanya makubwa licha ya baadhi kulalamika kwamba kabanaAwamu hii mtalalama mpaka basis, Huyo ndo JPM
Mi jamaa namkubari! akikuambia hiki kinyesi habadili hilo atakuambia kila siku hiki kinyesi si mwanasiasa mzuri ila ni mtendaji mzuri sana maana ubaya wa wanasiasa sana maneno laini mengi sana hakuna utekelezaji waojiwe anapiga kazi tuache unafiki pia anatekeleza ahadi. kuna mdau hapa alileta uzi enzi ya jk alidhulumiwa golofa pale mnara wa saa na wakubwa wa enzo hizo. akachemka mahakamani hata huko wizara ya ardhi.
habari nilizopata hivi punde kalejeshewa kila kitu. maana kasheshe hili lilipelekea mama yake kufa kwa presha mwenye ule uzi anaweza weka hapa kura yangu naona kabisa inaenda kwa jiwe kama ndio hivi
Ndugu yangu leo nimekuona tena nilikuambia JPM Stiegler's Gorge utajengwa tu iwe mvua lije juwa! Kwasasa hamna chochote CDM cha kumyumbisha Rais wetu! Mkataba ndiyo huo umesema Trillion 6 according tu tathimini na katika ujenzi wa miundombinu kama hiyo inapojengwa lazima kuna vitu vya ziada uwa munakubaliana hiki kiwepo au lah atakuja kujenga mwingine...!Cdm na watu waelewa wanawachora tu. Mliahidi mpaka December hii mtakuwa mmehamia dodoma. Mliahidi viwanda 100 kila mkoa, saa hii mnagawa vitambulisho vya bure kwa shilingi 20,000! Huo mradi kila siku rais alikuwa anasema ni wa shilingi 3t, sasa lugha imebadilika ni shilingi 6.5t. Ok hilo sio shida maana tumemzoea kwa uongo, je fedha zipo? Hapo ndio utajua ni usanii tu.
Majibu utayapata leo! usikae mbali na kiradio chako.....Nnachojua Hydro powers zilizopo zimejengwa na Europian countries:Mtera na Pangani Falls!Hawa Waarabu ni lini walianza hii biashara?
Jina la Mkandarasi ni nani na anajenga kwa bei gani?Je,ni mkopo au Fedha za ndani?
10% awamu hiii...! thubutu hayo yalikuwa awamu ya nne sio sasa.Hamna kitu hapo! Watu walisha lamba 10% yao.
Kama wapi kwa mfano tutauza huo umeme mkuu