Nnachojua Hydro powers zilizopo zimejengwa na Europian countries:Mtera na Pangani Falls!Hawa Waarabu ni lini walianza hii biashara?
Jina la Mkandarasi ni nani na anajenga kwa bei gani?Je,ni mkopo au Fedha za ndani?
Mambo yamekwivaaaaaView attachment 964505
Kesho historia inaandikwa. Serikali ya Tanzania itatiliana saini Mkataba na Kampuni ya ujenzi kutoka nchini Misri ambayo ilishinda Kandarasi ya ujenzi Wa Bwawa la kuzalisha Umeme la 'Stieglers Gorge'.
Bwawa la 'Stieglers' litakuwa na uwezo wa kuzalisha Mega Wati 2100 za umeme, kiwango ambacho kitakuwa ni zaidi ya mahitaji ya nchi na hivyo kuiwezesha Tanzania kuuza umeme nje ya nchi.
Zanzibar na Msumbiji kaskaziniKama wapi kwa mfano tutauza huo umeme mkuu
Learn....learn...learn. Hawa wamejenga Aswam dam in 70s. Sisi tunapiga porojo tuNnachojua Hydro powers zilizopo zimejengwa na Europian countries:Mtera na Pangani Falls!Hawa Waarabu ni lini walianza hii biashara?
Jina la Mkandarasi ni nani na anajenga kwa bei gani?Je,ni mkopo au Fedha za ndani?
Wengi especially walioko serikalini wanamuhujumu sana. Ipo siku wataondoka wenyewe watuachie Tanzania tunayoitaka. Kila kitu ni kupinga tuWatanzania Mungu ametuletea JPM kwa makusudi kabisa ya kuijenga nchi upya. Tumshukuru Mungu kwa hili.
Sawa mkuu labda Neuclera Plant zao zikikumbwa na Sunami. ππππππHata merekani
Wakat mwingine hawamuelewi vizuri au wanamshauri vibaya. Lakini haya mambo siyo sawa.Raisi atawachukuliaje hatua watendaji wake wakati wanatekeleza matakwa yake?
Yes I may not be serious as you are suggesting, then let me know your views as serious economist.You seem to be more short-sighted focused. Discussing about returns on investment of ATCL and similar investment within such short time really? No you are not serious!
Wana umeme wanashindwa waupele wapi hadi wanatuuzia sisi. (Zambia & Uganda)Nchi jirani kama Rwanda, Uganda, Zambia, Msumbiji na Congo
Wana Aswan Dam wanatafuta soko la umeme hadi wanagombana na WahabeshMisri
uko nyuma ya wakati, tuko 2018'uko 1943...
jaribu hata ku google basi, mkiwa humu tunawaregard kama wasomi, ukiuliza utumbo unashangaza
Zanzibar sawa, Msumbiji huo mzigo kutoka Cahora basa bado wanatafuta soko la ziada.Zanzibar na Msumbiji kaskazini
Yes ,timu mahiri ya masri.Arab contractors?
Ni google nini sasa?????????????πππππππππuko nyuma ya wakati, tuko 2018'uko 1943...
jaribu hata ku google basi, mkiwa humu tunawaregard kama wasomi, ukiuliza utumbo unashangaza
Hoima nao wanaharibu mazingira? Truth be told. Unadanganya. Hoima haina donors....Hoima ni private project ambayo shareholders lazima wawe na vigezo vyote vya kukopeshwa hela ndio watakopwa. Ilivyo sasa mambo ya msingi hayajakamilika kama HCA.Hakuna financing institutions yeyote ktk ulimwengu huu itakayo weza towa pesa kwenye uhalibifi wa world heritage site.....
...bomba LA mafuta ohima kiko wp now??? Donors wote wamesepaView attachment 965892
Ni google nini sasa?????????????πππππππππ