Mkataba wa ujenzi wa Bwawa kuzalisha umeme a 'Stieglers Gorge' kusainiwa kesho tarehe 12/12/2018

Mkataba wa ujenzi wa Bwawa kuzalisha umeme a 'Stieglers Gorge' kusainiwa kesho tarehe 12/12/2018

Nnachojua Hydro powers zilizopo zimejengwa na Europian countries:Mtera na Pangani Falls!Hawa Waarabu ni lini walianza hii biashara?
Jina la Mkandarasi ni nani na anajenga kwa bei gani?Je,ni mkopo au Fedha za ndani?

duh!

wajinga bana!!

ikiwa arab au egypt staff lazina wawe waarabu?
 
View attachment 964505

Kesho historia inaandikwa. Serikali ya Tanzania itatiliana saini Mkataba na Kampuni ya ujenzi kutoka nchini Misri ambayo ilishinda Kandarasi ya ujenzi Wa Bwawa la kuzalisha Umeme la 'Stieglers Gorge'.

Bwawa la 'Stieglers' litakuwa na uwezo wa kuzalisha Mega Wati 2100 za umeme, kiwango ambacho kitakuwa ni zaidi ya mahitaji ya nchi na hivyo kuiwezesha Tanzania kuuza umeme nje ya nchi.
Mambo yamekwivaaaaa
 
Nnachojua Hydro powers zilizopo zimejengwa na Europian countries:Mtera na Pangani Falls!Hawa Waarabu ni lini walianza hii biashara?
Jina la Mkandarasi ni nani na anajenga kwa bei gani?Je,ni mkopo au Fedha za ndani?
Learn....learn...learn. Hawa wamejenga Aswam dam in 70s. Sisi tunapiga porojo tu
 
Watanzania Mungu ametuletea JPM kwa makusudi kabisa ya kuijenga nchi upya. Tumshukuru Mungu kwa hili.
Wengi especially walioko serikalini wanamuhujumu sana. Ipo siku wataondoka wenyewe watuachie Tanzania tunayoitaka. Kila kitu ni kupinga tu
 
You seem to be more short-sighted focused. Discussing about returns on investment of ATCL and similar investment within such short time really? No you are not serious!
Yes I may not be serious as you are suggesting, then let me know your views as serious economist.
 
uko nyuma ya wakati, tuko 2018'uko 1943...

jaribu hata ku google basi, mkiwa humu tunawaregard kama wasomi, ukiuliza utumbo unashangaza

Jibu likisadifu swali mambo huwa swali. Kama unajua soko lilipo ni swala la kujibu ili moja ya malengo ya JFkama kuelimishana litimie na siyo mitusi maana nina huhakia hukujisajili JF kwa ajili hiyo mkuu.
 
uko nyuma ya wakati, tuko 2018'uko 1943...

jaribu hata ku google basi, mkiwa humu tunawaregard kama wasomi, ukiuliza utumbo unashangaza
Ni google nini sasa?????????????🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄
 
Hakuna financing institutions yeyote ktk ulimwengu huu itakayo weza towa pesa kwenye uhalibifi wa world heritage site.....

...bomba LA mafuta ohima kiko wp now??? Donors wote wamesepa
Screenshot_20181211-221830.jpeg
 
"Bwawa la 'Stieglers' litakuwa na uwezo wa kuzalisha Mega Wati 2100 za umeme, kiwango ambacho kitakuwa ni zaidi ya mahitaji ya nchi na hivyo kuiwezesha Tanzania kuuza umeme nje ya nchi."

Hata kwenye gesi lugha ilikuwa hii
 
Hakuna financing institutions yeyote ktk ulimwengu huu itakayo weza towa pesa kwenye uhalibifi wa world heritage site.....

...bomba LA mafuta ohima kiko wp now??? Donors wote wamesepaView attachment 965892
Hoima nao wanaharibu mazingira? Truth be told. Unadanganya. Hoima haina donors....Hoima ni private project ambayo shareholders lazima wawe na vigezo vyote vya kukopeshwa hela ndio watakopwa. Ilivyo sasa mambo ya msingi hayajakamilika kama HCA.
Kama hatuna uhakika tusijitolee kuwa waongeaji wa mambo ambayo hatuna uhakika nayo
 
Ni google nini sasa?????????????🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄

pole

angalia nchi zinazotuzunguka zina demand ya umeme kiasi gani

na zina zalisha kiasi gani

kama haujui hata informatiob gani utafute, sikusaidii
 
Hivi naomba kuuliza.

Miradi yote hii mikubwa kabisa (Stielers, SGR, Dreamliner na Bombardier nk) yenye thamani ya ma trilioni, asilimia 10 yake ni pesa kiasi gani ?

Nauliza ili tujipange kutoa fungu la kumi ili iwe na baraka za Mwenyezi Mungu.
 
Back
Top Bottom