Lamzettttt
JF-Expert Member
- May 28, 2020
- 1,218
- 3,481
Sisi wakati huo tunakula mamung'unya mixer maloli na Miogo... Na kombe la uji kiungo chumvi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kumbe ilikua popular sehemu nyingi, ila najiuliza kma ilikuwa mitamu kwanini hajaendelea kuwepo wakati uhitaji upo ? au ilikuwa ni ladha tamu ya kawaida tuu kama mikate mingi iliyo kuwepo sasa, ila tuu labda kwa wakati huyo tulikuwa hatuna choice nyingi na mitamu ilikua ni hiyo tuu kwa kipindi hicho na tunaimani kwamba ilikua mitamu sana kwa sisi ulio kula kipindi hicho?Nakumbuka yaani mgeni au mtu yeyote alikuwa akija kutoka Dar, lazima aje na mkate wa Siha, ulikuwa mtamu sana
Ulikuwa wapi kipindi hicho ? hahahahaSisi wakati huo tunakula mamung'unya mixer maloli na Miogo... Na kombe la uji kiungo chumvi.
Nainokwi ..... Kilwa mkuu..Ulikuwa wapi kipindi hicho ? hahah
RTD na michezo ya radio na Mama na Mwana .lolWengine tulikuwa mbwinde huko, Da'slam unaisikiza kwenye redio RTD...
Tunaomba Irudie the recepe lolSijui ila ulikuwa viwango sana!
Ngoja nigugo..[emoji31][emoji31]
Ile mikate nikijaribu kuvutia hisia yake, inafanana na Cake za Azam,lakini bado haiingii, kipindi hicho usafiri ulikuwa wa mabasi ya Relway,Kumbe ilikua popular sehemu nyingi, ila najiuliza kma ilikuwa mitamu kwanini hajaendelea kuwepo wakati uhitaji upo ? au ilikuwa ni ladha tamu ya kawaida tuu kama mikate mingi iliyo kuwepo sasa, ila tuu labda kwa wakati huyo tulikuwa hatuna choice nyingi na mitamu ilikua ni hiyo tuu kwa kipindi hicho na tunaimani kwamba ilikua mitamu sana kwa sisi ulio kula kipindi hicho?
pia kununua gari ilikuwa hadi upate kibali serikalini. tumetoka mbali sanaYes ili kuwa juma pili gari zilikuwa haziruhusiwi.
Duh, Stand mna kaa Week na ikiharibika hamruhusiwi kushuka, ina maan mna kaa week nzima kwnye gari? aisee hii ilikua kiboko .Ile mikate nikijaribu kuvutia hisia yake, inafanana na Cake za Azam,lakini bado haiingii, kipindi hicho usafiri ulikuwa wa mabasi ya Relway,
Watu walikuwa wanakaa stendi hata wiki, basi likiharibika inabidi mmbaki hapohapo abiria hamruhusiwi kushuka
Duh, kweli ilikua kazi kubwa sana kipindi hichopia kununua gari ilikuwa hadi upate kibali serikalini. tumetoka mbali sana
madogo wengi hawajui hivi vitu
NMC ilikufa na mkate wakeAsante sana, je kwa sasa inapatikana hiyo mikate?
Watu wairejeshe ile mikate, inamaan recepe yake ilikuwa ni siri nini?NMC ilikufa na mkate wake
Hakika, recipe ni siri nzito.Watu wairejeshe ile mikate, inamaan recepe yake ilikuwa ni siri nini?
Mpishi alikuwa mzee mmoja wa kinyakyusa akiitwa mzee juju,alipokufa basi akafa na formula yake ya mkate wa sihaNimewaza labda ulikuwa unatengenezwa na mchaga mmoja huko wilayani Siha mkoani Kilimanjaro,anyway kama ulikuwa unatengenezwa Tazara dasalama kwann ulitoka mara Moja Kwa wiki?
Basi nana suala ni hilo , maana kama ilikua mitamu kivile basi ingekuwepo leo .Hakika, recipe ni siri nzito.
Aisee, hilo ndio tatizo la sisi wafrica hatu document chochote muhimu , ona sasa kaenda na formular yake , hata hakuruthisha wajukuu maana wangepiga hela ndefu , lolMpishi alikuwa mzee mmoja wa kinyakyusa akiitwa mzee juju,alipokufa basi akafa na formula yake ya mkate wa siha
😁 hapo sawa it means Mzee alizikwa na madini yake au sio,dah Sasa ishakuwa ngumu,kwaheri mkate wa SIHAMpishi alikuwa mzee mmoja wa kinyakyusa akiitwa mzee juju,alipokufa basi akafa na formula yake ya mkate wa siha
dah ni masikitiko tumekosa uhondo wake .lol😁 hapo sawa it means Mzee alizikwa na madini yake au sio,dah Sasa ishakuwa ngumu,kwaheri mkate wa SIHA
Mikate ile mitamu ilikuwa inazalishwa na Shirika la umma NMC. Mashirika ya umma mengi ilifika wakati yalidorora au kufa. Utengenezaji wa huo mate nadhani uliathiriwa na hali hii.Asante
, nilikuwa najiuliza ilitokea wapi ? na je kwanini kwa sasa haipo?