Mkate wa Siha

Mkate wa Siha

Nakumbuka yaani mgeni au mtu yeyote alikuwa akija kutoka Dar, lazima aje na mkate wa Siha, ulikuwa mtamu sana
Kumbe ilikua popular sehemu nyingi, ila najiuliza kma ilikuwa mitamu kwanini hajaendelea kuwepo wakati uhitaji upo ? au ilikuwa ni ladha tamu ya kawaida tuu kama mikate mingi iliyo kuwepo sasa, ila tuu labda kwa wakati huyo tulikuwa hatuna choice nyingi na mitamu ilikua ni hiyo tuu kwa kipindi hicho na tunaimani kwamba ilikua mitamu sana kwa sisi ulio kula kipindi hicho?
 
Ile mikate nikijaribu kuvutia hisia yake, inafanana na Cake za Azam,lakini bado haiingii, kipindi hicho usafiri ulikuwa wa mabasi ya Relway,

Watu walikuwa wanakaa stendi hata wiki, basi likiharibika inabidi mmbaki hapohapo abiria hamruhusiwi kushuka
 
Duh, Stand mna kaa Week na ikiharibika hamruhusiwi kushuka, ina maan mna kaa week nzima kwnye gari? aisee hii ilikua kiboko .
Mii nikijaribu kuvuta hisia kuhusu mkate huo naona kama nakumbuka tuu harufu yake , nikijaribu zaidi naona kama uli taste like a brownbread wenye asali na laini .
 
Nimewaza labda ulikuwa unatengenezwa na mchaga mmoja huko wilayani Siha mkoani Kilimanjaro,anyway kama ulikuwa unatengenezwa Tazara dasalama kwann ulitoka mara Moja Kwa wiki?
 
Mpishi alikuwa mzee mmoja wa kinyakyusa akiitwa mzee juju,alipokufa basi akafa na formula yake ya mkate wa siha
Aisee, hilo ndio tatizo la sisi wafrica hatu document chochote muhimu , ona sasa kaenda na formular yake , hata hakuruthisha wajukuu maana wangepiga hela ndefu , lol
 
Asante

, nilikuwa najiuliza ilitokea wapi ? na je kwanini kwa sasa haipo?
Mikate ile mitamu ilikuwa inazalishwa na Shirika la umma NMC. Mashirika ya umma mengi ilifika wakati yalidorora au kufa. Utengenezaji wa huo mate nadhani uliathiriwa na hali hii.
 
Back
Top Bottom