Mwanamwana
Platinum Member
- Aug 1, 2011
- 9,604
- 22,722
Hemed Steven, mkazi wa Jimbo la Tunduma kata ya Chipaka, ameonyesha wasiwasi wake kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu
Kwa maoni yake, badala ya kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, viongozi wa CHADEMA wanapaswa kwanza kutatua migogoro yao ya ndani na kuweka wazi kwa wanachama malengo halisi ya kampeni yao.
Hemed anaeleza kuwa tayari ndani ya CHADEMA kuna watia nia wa kugombea ubunge na udiwani, ambao bado hawajaelewa dhana ya kampeni ya Lissu – jambo linaloashiria mkanganyiko mkubwa ndani ya chama.
Anashauri kwamba kabla ya ujumbe huu kufikishwa kwa wananchi, ni vyema kwanza ueleweke vizuri ndani ya chama ili kuepusha kuchanganya wanachama na kupoteza mwelekeo wa kisiasa.
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa: Special Thread: Mijadala na Matukio ya Uchaguzi Mikoa yote Tanzania Bara na Zanzibar kuelekea Uchaguzi Mkuu 2025