kugomea uchaguzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. H

    JamiiForums Tanzania Nashauri waTanzania kugomea uchaguzi hadi bima ya afya kwa wote ipitishwe

    Kama kweli hiyo 29.10.2025 kutakuwa na machafuko watanzania wengi watakufa kwa kukosa matibabu kwani hawana uwezo wa kujigharamia. Ikiwa ni hivyo basi wananchi hawana budi kugomea uchaguzi hadi serikali ifanyie kazi takwa la msingi la bima ya afya kwa wote. Ilikuwa ni vyema serikali kuahirisha...
  2. Mwanamwana

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mkazi Tunduma: CHADEMA watatue migogoro ndani ya chama kabla ya kugomea uchaguzi

    Hemed Steven, mkazi wa Jimbo la Tunduma kata ya Chipaka, ameonyesha wasiwasi wake kuhusu kampeni ya “No Reforms No Election” inayoendeshwa na Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu Kwa maoni yake, badala ya kuzuia Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 2025, viongozi wa CHADEMA wanapaswa kwanza kutatua migogoro...
  3. Ritz

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 CHADEMA hawajajipanga na uchaguzi, njia pekee ya kukwepa aibu ni kugomea uchaguzi

    Wanaukumbi. Kwa hali ilivyo ni wazi kuwa Chadema, hawawezi kujipanga na uchaguzi kwa muda uliobakia kwa sababu nyingi sana zikiwemo za kuwa ombaomba na kukosa fedha za kuendesha zoezi la uchaguzi. Juzi juzi tumeshuhudia wanazimiwa taa kwa kukosa 50m TZS kulipia ukumbi kuendelea na mkutano pale...
  4. Tlaatlaah

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Ni zipi faida na hasara za kugomea au kususia uchaguzi wa kisiasa?

    Ndugu zangu wananchi wote, wanasiasa, wadau wa demokarisia, uhuru, haki na usawa, wanaharakati na makundi mbalimbali ya kijamii, kiuchumu na kisiasa, hamjambo? Nawasalimu Nyote kwa Jina la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania....:NoGodNo: Katika historia ya siasa za vyama vingi Africa Mashariki...
Back
Top Bottom