HAKI KWA WOTE
JF-Expert Member
- Nov 30, 2022
- 2,783
- 2,396
Kama kweli hiyo 29.10.2025 kutakuwa na machafuko watanzania wengi watakufa kwa kukosa matibabu kwani hawana uwezo wa kujigharamia.
Ikiwa ni hivyo basi wananchi hawana budi kugomea uchaguzi hadi serikali ifanyie kazi takwa la msingi la bima ya afya kwa wote.
Ilikuwa ni vyema serikali kuahirisha uchaguzi huu kutokana na sitofahamu zilizopo ili pesa hizo zitumike kuwapatia bima ya afya wananchi kuliko pesa hizo kununulia magari ya kifahari na kulipana kwenye kampeni