Mkazi wa Mkako, Ruvuma (Mlinzi wa Shule) Beatus Mwingira amefariki Dunia baada ya kujipiga risasi chini ya kidevu kwa bunduki

Mkazi wa Mkako, Ruvuma (Mlinzi wa Shule) Beatus Mwingira amefariki Dunia baada ya kujipiga risasi chini ya kidevu kwa bunduki

Point of correction, kuwa na mke bila Mungu ni matatizo
Dunia ya wanaume/wanawake wenye hofu na Mungu na kumuogopa Ni wachache Sana ukipata bahat ya kuwa nae ishi nae kwa hila na mwanamke mwema Ni yule anae muombea mumewe Kila atokapo nyumbani na arudipo nyumbani
 
Huwezi kujua mkuu lakini nahisi mgogoro wa ndoa unahusika. Kitendo cha kubaka ni kibaya sana.

Katika maisha yetu wanaume, kua na mke pekee bila kamchepuko pembeni, nikujitafutia matatizo. Ukipigwa stress kidogo na wife madhara yake ndio hayo.

Hii kali!..shetani ana nguvu sana
 
Hakuna watu nawachukia dunia hii kama wauaji na wabakaji. Yaani wakitoka wauaji wanafuata wabakaji.

Hawa watu huwa wananifanya nitamani siku moja kumiliki risasi. Japo huwa naomba sana nisifike huko.
umeongea kwa hisia sana mkuu, vipi ushawahi pitia adha hii?
 
Wachaga mtoto wa kike lazima alambwe na baba yake kwanza akiwa mdogo (huo ni ubakaji wachaga wote wanajua, na kama umeoa mchaga ujue mkeo alishabanduliwa na baba yake, yaani bikra yake ilishatolewa)
je, malengo yakufanya hivo hua ni yapi?
 
Wachaga mtoto wa kike lazima alambwe na baba yake kwanza akiwa mdogo (huo ni ubakaji wachaga wote wanajua, na kama umeoa mchaga ujue mkeo alishabanduliwa na baba yake, yaani bikra yake ilishatolewa)
Duuh
 
Ubakaji ni matokeo ya kushindwa kuhimili hisia na matatizo mengine km upweke, uchumi mbovu, malezi mabaya.
 
Moja wapo ya sababu ni hizi video chafu ambazo zinahamasisha mapenzi baina ya ndugu,mfano baba na binti,wakwe,kaka na dada nk na shetani anaweka hamasa ndani ya mtu kuwa hicho kitu ni cha kawaida tu ...tupo kwenye nyakati mbaya sana
 
Mkazi wa Mkako, Ruvuma (Mlinzi wa Shule) Beatus Mwingira amefariki Dunia baada ya kujipiga risasi chini ya kidevu kwa bunduki.

Uchunguzi wa awali unaonesha chanzo ni msongo wa mawazo baada ya June 28,2020 usiku kujaribu kumbaka Binti yake wa miaka 10 na kushindwa kutimiza lengo.

Kajitendea haki
 
Moja wapo ya sababu ni hizi video chafu ambazo zinahamasisha mapenzi baina ya ndugu,mfano baba na binti,wakwe,kaka na dada nk na shetani anaweka hamasa ndani ya mtu kuwa hicho kitu ni cha kawaida tu ...tupo kwenye nyakati mbaya sana
kweli mkuu inasikitisha sana.
 
Back
Top Bottom