Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Shindwa kwa Jina la Yesu huyo ni pepooooooo...yawezekana mkuu, maana haiwezekani mwanao wa dam kabisa upate ujasiri wa kumla dah!
Dunia ya wanaume/wanawake wenye hofu na Mungu na kumuogopa Ni wachache Sana ukipata bahat ya kuwa nae ishi nae kwa hila na mwanamke mwema Ni yule anae muombea mumewe Kila atokapo nyumbani na arudipo nyumbaniPoint of correction, kuwa na mke bila Mungu ni matatizo
mkuu mbona umejibu hivo au hujaelewa vizuri nilichoandika?Shindwa kwa Jina la Yesu huyo ni pepooooooo...
Tunahitaji huruma ya Mungu
Huwezi kujua mkuu lakini nahisi mgogoro wa ndoa unahusika. Kitendo cha kubaka ni kibaya sana.
Katika maisha yetu wanaume, kua na mke pekee bila kamchepuko pembeni, nikujitafutia matatizo. Ukipigwa stress kidogo na wife madhara yake ndio hayo.
umeongea kwa hisia sana mkuu, vipi ushawahi pitia adha hii?Hakuna watu nawachukia dunia hii kama wauaji na wabakaji. Yaani wakitoka wauaji wanafuata wabakaji.
Hawa watu huwa wananifanya nitamani siku moja kumiliki risasi. Japo huwa naomba sana nisifike huko.
je, malengo yakufanya hivo hua ni yapi?Wachaga mtoto wa kike lazima alambwe na baba yake kwanza akiwa mdogo (huo ni ubakaji wachaga wote wanajua, na kama umeoa mchaga ujue mkeo alishabanduliwa na baba yake, yaani bikra yake ilishatolewa)
DuuhWachaga mtoto wa kike lazima alambwe na baba yake kwanza akiwa mdogo (huo ni ubakaji wachaga wote wanajua, na kama umeoa mchaga ujue mkeo alishabanduliwa na baba yake, yaani bikra yake ilishatolewa)
Sijawahi mkuuumeongea kwa hisia sana mkuu, vipi ushawahi pitia adha hii?
sawa mkuuSijawahi mkuu
Lakini sipendi tu aina ya uhalifu ambao unahusisha kudhuru mwili wa mtu
Sijakukemea wewe..nimelikemea hilo pepo la ubakaji mkuu.au umeelewajemkuu mbona umejibu hivo au hujaelewa vizuri nilichoandika?
Kajitendea hakiMkazi wa Mkako, Ruvuma (Mlinzi wa Shule) Beatus Mwingira amefariki Dunia baada ya kujipiga risasi chini ya kidevu kwa bunduki.
Uchunguzi wa awali unaonesha chanzo ni msongo wa mawazo baada ya June 28,2020 usiku kujaribu kumbaka Binti yake wa miaka 10 na kushindwa kutimiza lengo.
dah! nilihisi umenikemea mimi mkuuSijakukemea wewe..nimelikemea hilo pepo la ubakaji mkuu.au umeelewaje
kweli mkuu inasikitisha sana.Moja wapo ya sababu ni hizi video chafu ambazo zinahamasisha mapenzi baina ya ndugu,mfano baba na binti,wakwe,kaka na dada nk na shetani anaweka hamasa ndani ya mtu kuwa hicho kitu ni cha kawaida tu ...tupo kwenye nyakati mbaya sana