Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #21
Huyu atakuwa wife tu 😂😂
Kuna mtu kamchoma tu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kuna mtu kamchoma tu.
Ni mji wawajeda ama watu wamepinda huko Nini?Huko Brazil kuna Slum inaitwa Favela,wakazi wa huko wanajiunganishia Maji na Umeme na wanatumia bila kulipa na hakuna mtu anayesogea huko kuwaambia chochote,hata Polisi hatii pua huko.
Tangu 2003-2013 na Leo hii 2024 jamaa kafaidi sio Bure😂😂Yeye au mkewe aliropoka wakamchoma
Ni sehemu ya makundi yanayouza drugs,ile sehemu wana utawala wao,ni watu ambao wapo tayari kwa chochote,kule mtu kupigwa chuma ni kawaida tu.Ni mji wawajeda ama watu wamepinda huko Nini?
Daaah huko ndo Kuna wanaume asee. Japo hakuna amani Sasa u babe Kila konaNi sehemu ya makundi yanayouza drugs,ile sehemu wana utawala wao,ni watu ambao wapo tayari kwa chochote,kule mtu kupigwa chuma ni kawaida tu.
Jamaa alikuwa na mke hawezi kuuingiza ndani. Kama alimumsimulia halafu mchepuko akaucheat hapo sawa?Itakuwa mchepuko wake umem snitch
Ongea vizuri na Mods ule mema ya JF ukikaa vibaya unachezea banJana walifungia Uzi wangu. Hii I'd nitabadirsha nitumie mpya au za zamani
😂😂😂😂Mmoja alijipigia pande lake la umeme, way back.
Kwani ule Uzi ulikuwa na shida Gani?Ongea vizuri na Mods ule mema ya JF ukikaa vibaya unachezea ban
Mtongoze Mods mmoja ule mema ya JFKwani ule Uzi ulikuwa na shida Gani?
Mtongoze Mods mmoja ule mema ya JF
Mbona hamsemi karopoka mwenyewe kwenye mapombe???Sema mke ndo kamchoma asee hakuna mwingine 😂😂
Daah siyo rahisi mwanaume kuropoka hata umeelewa Siri za ndani kwako sijui ni kwanini tu ni ngumu mnooMbona hamsemi karopoka mwenyewe kwenye mapombe???
Huyo mke wako aliingia chumbani kwa njemba kupakuliwa, akaliwa bila malipo, akakasirika na kumwita mjumbe,siku akilipwa ataliwa tena,ndiyo kawaidda yakeMke wangu kamchoma. Wanawake sio wa kuwamini hata siku moja
Mwanamke hawezi ropoka jema kwake kama hilo la KUTULIWA NDOO KICHWANI mkuu. Amini hivyoDaah siyo rahisi mwanaume kuropoka hata umeelewa Siri za ndani kwako sijui ni kwanini tu ni ngumu mnoo
😂😂😂Itakuwa hivo mkuu.Huyo mke wako aliingia chumbani kwa njemba kupakuliwa, akaliwa bila malipo, akakasirika na kumwita mjumbe,siku akilipwa ataliwa tena,ndiyo kawaidda yake
Akisikia unamchepuko shart akuchome tuMwanamke hawezi ropoka jema kwake kama hilo la KUTULIWA NDOO KICHWANI mkuu. Amini hivyo
Eti?Sasa jamani chumbani kwake mnafata nini...!!? Hakuna faragha....!!!🤪