Waziri wa Kaskazini
JF-Expert Member
- Dec 12, 2015
- 7,981
- 17,743
Kuna mwingine nakumbuka alikua anawaunganishia watu vile ving'amuzi vya kulipia,kisha wanamlipa,Mmoja alijipigia pande lake la umeme, way back.
Mle mleππIngekuwa kajiunganishia gas ya Mtwara ingekuwa poa sana
*
Kuna wale wa kigambon walio jiunganishia bomba la mafuta dpp akaja kujitoa kwenye ile kesi
Tz Kuna watu ni vichwa sana vile tu hawatumiwi vzrKuna mwingine nakumbuka alikua anawaunganishia watu vile ving'amuzi vya kulipia,kisha wanamlipa,
Jamaa alikua na mitambo yake kabisa chumbani kwake utafikiri ni control room ya NASA.
Apewe maua yakeMwamba huyu hapa
Miwaninya mbao imevaliwaWanaokula hela hao hawawaoni ?
aAnayejua na mimi anipe mbinu kuna wire za Fiber zile za nguzo za Viettel zimepita karibu kabisa na kwangu na kile kibox kiko karibu kabisa hua kinanitia majaribuni ipo siku ntaunga unlimited mie.πππ
NAENDELEA KULA NONDO YOUTUBE.
Wakasake Wala rushwa huko mkuuNa DAWASCO nao wafanye msako Dar
Waache waneemeke mkuuWatu wamejiunganishia Petrol/Diesel huko Kurasini miaka nenda rudi na hakuna kitu wanafanywa...
ππππππππππππππππππππππππππππππππππNi kabomba tu cha kuogea.
K! matata upo jamvini? umepoa sana
DahHuenda nikweli ila huko Kwa Nchi za wenzetu sijawahi fila na kuona.
Hapa bongo ni noma Jana Kuna Uzi unasema huko mbeya mkuu wa hospital anatoza Hela kwenye vyoo vya hospital ππ wapi umesikia kwingine?