Mkazi wa Ngudu, Kwimba afungwa jela miaka 30 kwa kumbaka na kumpa mimba mwanafunzi

Mkazi wa Ngudu, Kwimba afungwa jela miaka 30 kwa kumbaka na kumpa mimba mwanafunzi

😀😀😀 Wanawake wanabaka Tena??
Kwa hiyo huamini hilo au?

Ndio matatizo ya kuishi kwenye jamii yenye double standards iliyokomaa ambapo mnaamjni makosa fulani huwa ni ya wanaume tu.

Umewahi kuskia au kufuatilia cases za child molestation ambazo nyingi zinafanywa na wanawake watu wazima?
 
Kuna kitu najiuliza, mtoto wa kiume wa miaka 17 au 18 hivi amebalehe tangu akiwa miaka 13, atapata demu wa mumri gani? Maana hawezi tongoza wa miaka 18 mwenzake huyo atakuwa mkubwa kwake, akipiga wa 15 anaambiwa amebaka hata kama binti ameridhia!
Ndio ujue sheria zenu za kibongo ni za kipumbavu sana na zimekaa kikandamizi, waliozitunga walitumia mihemko badala ya akili.

Leo hii ukienda mashuleni wanafunzi wa kike wenye umri kati ya 14-17 ni wachache sana wenye bikra, wengi utakuta wana maboyfriends ambao ni wanafunzi wenzao tena wanalingana nao umri.

hizi kesi za ubakaji ni pale tu mwanafunzi huyo anapokuwa sexually involved na mtu mzima, lakin wanakoboana sana na watoto wenzao huko na wala hatuskii kesi
 
Kwa hiyo huamini hilo au?

Ndio matatizo ya kuishi kwenye jamii yenye double standards iliyokomaa ambapo mnaamjni makosa fulani huwa ni ya wanaume tu.

Umewahi kuskia au kufuatilia cases za child molestation ambazo nyingi zinafanywa na wanawake watu wazima?
Watoto wa kiume wanapenda wamama wakikamatwa nao wamama wanaonekana ndo chanzo
 
Watoto wa kiume wanapenda wamama wakikamatwa nao wamama wanaonekana ndo chanzo
Akili zako ni ndogo sana, sijui yawezekana umri wako ukawa unachangia kuwa na fikra hzi za kitoto.

Ni wanaume wengi sana wamebakwa na wafanyakazi wa ndani udogoni mwao kipindi ambacho hawajui chochote kuhusu mapenzi, na mpaka leo wapo wamebaki na trauma na hawawezi kuskilizwa sehemu yoyote.

Pia vile vile tukienda na hii mantiki yako, wapo mabinti ambao wanapenda wababa ila siku wakifumaniwa wababa hao wanaambiwa kwamba wamebaka na wakati ni makubaliano yao wenyewe.
 
Kitu gan au hoja gan ya msingi sana inayokufanya uwe serious na kumtusi mtu? Kuna sehem nimekudhihaki? Huwez muelekeza mtu mkapa umdhihaki mtu??
Huhitaji kua serious namna hiyo zaid utaambulia kuumiza feelings za watu
 
Mahakama ya wilaya ya Maswa,mkoani Simiyu imemhukumu kifungo cha miaka 30 jela mkazi wa Ngudu wilaya ya Kwimba mkoa wa Mwanza,Jumanne Clement(23)kwa kosa la kubaka,kumpa ujauzito na kupoka mwanafunzi mwenye umri wa miaka 15 wa kidato cha kwanza.

Hukumu hiyo imetolewa leo jumatano,Aprili 30,2025 na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama hiyo,Enos Misana ambaye amesema mtuhumiwa atahukumiwa kifungo cha miaka 30 kwa kosa la kwanza na la pili na kwa kosa la tatu atahukumiwa kifungo cha miaka mitano na adhabu hizo zinakwenda kwa pamoja,hivyo atatumikia kifungo cha jumla cha miaka 30 jela.

Pia mshtakiwa ameamriwa kumlipa mwanafunzi huyo aliyekuwa akisoma katika shule ya sekondari Jija wilaya ya Maswa, fidia ya Sh 500,000.

Hakimu Misana ametoa adhabu hiyo baada ya kuridhika na ushahidi uliotolewa na upande wa mashtaka.
Mshtakiwa alishtakiwa kwa alishtakiwa kwa makosa matatu ambayo ni kubaka,kinyume na kifungu cha 130(1)(2)(e) na 131 (1)cha sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16 kama ilivyo fanyiwa marejeo mwaka 2022.

Kosa la pili ni kumpa mimba mwanafunzi kinyume na kifungu cha 60A (3) cha sheria ya Elimu sura ya 353 marejeo ya mwaka 2002 na kama ilivyofanyiwa mabadiliko madogo katika kifungu cha 22 cha sheria ya mabadiliko madogo namba 2 ya mwaka 2016 na kosa la tatu ni kupoka, kinyume na kifungu cha 134 na 35 cha sheria ya kanuni ya adhabu sura ya 16 majerejeo ya mwaka 2022.

Katika kesi hiyo ya jinai namba 23752/2024, kwa mujibu wa hati ya mashtaka na ushahidi uliowasilishwa mahakamani, mshtakiwa alitenda kosa hilo usiku,Aprili 20, 2024 katika kijiji cha Jijabilishi wilayani humo.
Alidaiwa kutenda makosa hayo na baaaye alimchukua mwanafunzi huyo na kwenda kuishi nae nyumbani kwake mjini Ngudu kwa lengo la kumuoa kinyume na matakwa ya wazazi wake mwanafunzi.

Katika kuthibitisha mashtaka, upande wa Jamhuri uliwaita mahakamani mashahidi watano akiwamo mwathirika (binti aliyetendewa kitendo hicho) na uliwasilisha vielelezo vinne.
Tatizo hizi Sheria za mkoloni zinatufanya tuwe mafala.

Sasa huyo mtoto akizaliwa atalelewa na nani wakati baba yupo jela?

Huyo binti keshakuwa singo mama, ataolewa na nani?

Huyo kijana nguvu kazi ya taifa anaenda kufichwa asifanye kazi kwa faida ya nani?

Hivi kabla ya Sheria kutumika huwa Kuna research yoyote huwa inafanyika kujua pros n cons?
 
Chini ya miaka 18 inatafsiriwa ni ubakaji Kwa kuwa sheria inamtambua kama mtoto. Hatuwez kukubaliana kufanya ngono ya watoto
Ndo ale "denti" alichukua risk ya kifala. Madenti hawaaminiki mzee! Kesi nyingi za kubaka zipo hivyo, denti anajaa kwenye mfumo, unapiga badae akienda kwao anasema, umepiga. Basi linakuwa bango, ubaoni wakienda hawakuachi. Una kula mvua 30, hiyo ya tulikubaliana Hakimu anashusha miwani. Haioni.
 
Back
Top Bottom