KingPower
JF-Expert Member
- Jun 8, 2015
- 1,115
- 1,807
Watumiaje wa Tinder utawajua Tu[emoji23]Mwanaume hata asie na michepuko ana vi secret admirer usithubutu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Watumiaje wa Tinder utawajua Tu[emoji23]Mwanaume hata asie na michepuko ana vi secret admirer usithubutu
Tinder mizinguo tumia telegram ni chapWatumiaje wa Tinder utawajua Tu[emoji23]
Amepata uburu kamili sasa.Hafi tena
sana kwa kweli, nikawa mnafiki kumpa poleUmefurahi mwenyewe 😆😆
Siku nyingine ipi mkuu wakati ameshaaga duniaSiku nyingine Akome kupekuwa simu ya mwanaume
So jamaa itabidi alambe mchanga?Jamani wanaume mtatumaliza! Hadi wa vijijini?
Sijui huyo dada alikutana na nini huko masikini?
Halafu alisoma meseji zote hadi za WhatsApp!
Apumzike kwa amani!
Japo mimi sitojiua, siwezi kumwachia mchepuko mume.
Nyie wanandoa muwe mnaweka nywila (password) kwenye simu zenu mtaokoa majanga mengi na mtakuja kunishukuru baadae hasa mnaposahau simu nyumbani au wakati mmelala fofofo wakati mwenzio yuko macho saa 24. Over!View attachment 2809543
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma (ACP) Marco G. Chilya akielezea kuhusu tukio hilo
Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Marietha Bosco Sagana (32) Mkazi wa Kitongoji cha Matarawe, Kijiji cha Marungu Kata ya Tingi Tarafa ya Mpepo, Wilaya ya Nyasa amefariki Dunia wakati anapatiwa matibabu baada ya kwa kunywa sumu ya kuulia Wadudu chanzo kikiwa ni wivu wa Mapenzi.
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Marco G. Chilya amesema tukio hilo limetokea Novemba 8, 2023 Saa mbili usiku, ambapo mume wa marehemu alikuwa ameenda Shamba lakini alisahau simu yake nyumbani ndipo Marietha (marehemu) alivyoiona simu hiyo akaanza kuipekuwa.
Marietha alisoma meseji zote ikiwemo za WhatsApp na akafanikiwa kukuta jumbe za mume wake akiwasiliana na mwanamke Mwingine ndipo Marehemu alishindwa kuvumilia, hivyo akachukua Dawa ya Kuulia Wadudu ya Mahindi (ACTERIC) ambayo iliandaliwa kwa matumizi ya Shamba na kuinywa.
Baada ya kutenda tukio hilo majirani wanaoishi nae waligundua kitendo alichokifanya marehemu baada ya kuwaambia kuwa amekunywa dawa ya wadudu ambapo wakachukua uamuzi wa kumkimbiza Hospitali ya Mission Maguu ndipo akafariki Dunia wakati akipatiwa matibabu.
Huyo mwanamke ni kidudu, nacho kimeondoka kwa sumu!Very sad. Mungu atupe kuishi na kuishia vyema.
Siku nyingine Akome kupekuwa simu ya mwanaume
Kwa nini mapenzi yana nguvu kiasi hiki?
RIP mama ulikuwa unapigania chako
Wanawake kimbukeni simu ya mwanaume ni biological bomu
Ubaya wakuchukulia mapenzi seriously issues [emoji58]