Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

mapenzi yana nguvu kubwa sana,unaweza kumcheka aliyekunywa sumu kisa mapenzi but kuna wakati huwa kuna hali flani hv hutokea ya kujihsi unapendwa sana,hapo ndipo bomu la kujiua hutenenezwa,maana ck umegundua kuwa si ww tu unapendwa kumbe kuna wengne wengi akil ya haraka haraka ni kujiua ili umwaminshe unayempenda kuwa ulmpenda sana.. RIP dada lakn maamuzi aliyoyachukua dada huyu ni fundsho kwa wengne....FIKRI,OMBA USHAUR KABLA YA KUTENDA. Nimemaliza
 
View attachment 2809543
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma (ACP) Marco G. Chilya akielezea kuhusu tukio hilo

Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Marietha Bosco Sagana (32) Mkazi wa Kitongoji cha Matarawe, Kijiji cha Marungu Kata ya Tingi Tarafa ya Mpepo, Wilaya ya Nyasa amefariki Dunia wakati anapatiwa matibabu baada ya kwa kunywa sumu ya kuulia Wadudu chanzo kikiwa ni wivu wa Mapenzi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Marco G. Chilya amesema tukio hilo limetokea Novemba 8, 2023 Saa mbili usiku, ambapo mume wa marehemu alikuwa ameenda Shamba lakini alisahau simu yake nyumbani ndipo Marietha (marehemu) alivyoiona simu hiyo akaanza kuipekuwa.
View attachment 2809557
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma (ACP) Marco G. Chilya
Marietha alisoma meseji zote ikiwemo za WhatsApp na akafanikiwa kukuta jumbe za mume wake akiwasiliana na mwanamke Mwingine ndipo Marehemu alishindwa kuvumilia, hivyo akachukua Dawa ya Kuulia Wadudu ya Mahindi (ACTERIC) ambayo iliandaliwa kwa matumizi ya Shamba na kuinywa.

Baada ya kutenda tukio hilo majirani wanaoishi nae waligundua kitendo alichokifanya marehemu baada ya kuwaambia kuwa amekunywa dawa ya wadudu ambapo wakachukua uamuzi wa kumkimbiza Hospitali ya Mission Maguu ndipo akafariki Dunia wakati akipatiwa matibabu.
Hali kama hii hutokana na mmoja kumwamini na kumpenda mwenza kupitiliza.
Action zinakuwa hivi:
1. Mwanaume akisalitiwa mara nyingi atachukua uamuzi wa kutoa roho ya msaliti.

Kwa wapenzi si vyema kumwaminisha mwenzako kuwa wewe ni malaika ama kwamba mwenzako hawezi kusalitika..

Yote kwa yote usaliti wa mapenzi ni sumu mbaya sana.

Kwa zama za nyakati hizi ni vigumu sana kukuta mwanaume ambae hapigi shoo za nje labda awe mgonjwa,hana pesa ama ameshiba dini kupindukia.

2. Mwanamke akisalitiwa mara nyingi huchukua uamzi wa kujitoa roho.

Kiufupi 90% ya wanaume tunapiga mechi za ndondo ila hatuachi majukumu yetu kwa ndoa na famili. Kama wapo wasiopiga ndondo basi ni kwa sababu maalum mfano ugonjwa, ukata ama dini imekolea sana.

Kama unajifahamu kuwa we ni mwanaharakati ni muhimu sana kutoruhusu mwenzako kusoma yaliyomo kwenye simu zako.

Nakumbuka mi tukio la kwanza niliwaachia simu watoto waangalie movie wakati nimekwenda kuoga, ila natoka bafuni nakuta wifi yenu kawapokonya watoto simu na amejifungia chooni anapekua kila kona ya simu baada ya kuibamba haina password
Baada ya hapo ilibidi kuvunja mlango wa choo maana mdada alizimia kwa aliyoyashudia.

Hili tukio lilinitikisa sana mpaka kwa wazee wetu ila baada ya hapo maisha yaliendelea.

MWANA KULITAFUTA, MWANAKULIPATA
 
Iliandikwa mwisho wake huo
 
Sifurahii hiki kifo. Na wala sijitambi kuwa naweza kujizuia kufikia huko.

Kikubwa ni kumuomba Mungu moyo wa Uvumilivu
 
Hali kama hii hutokana na mmoja kumwamini na kumpenda mwenza kupitiliza.
Action zinakuwa hivi:
1. Mwanaume akisalitiwa mara nyingi atachukua uamuzi wa kutoa roho ya msaliti.

Kwa wapenzi si vyema kumwaminisha mwenzako kuwa wewe ni malaika ama kwamba mwenzako hawezi kusalitika..

Yote kwa yote usaliti wa mapenzi ni sumu mbaya sana.

Kwa zama za nyakati hizi ni vigumu sana kukuta mwanaume ambae hapigi shoo za nje labda awe mgonjwa,hana pesa ama ameshiba dini kupindukia.

2. Mwanamke akisalitiwa mara nyingi huchukua uamzi wa kujitoa roho.

Kiufupi 90% ya wanaume tunapiga mechi za ndondo ila hatuachi majukumu yetu kwa ndoa na famili. Kama wapo wasiopiga ndondo basi ni kwa sababu maalum mfano ugonjwa, ukata ama dini imekolea sana.

Kama unajifahamu kuwa we ni mwanaharakati ni muhimu sana kutoruhusu mwenzako kusoma yaliyomo kwenye simu zako.

Nakumbuka mi tukio la kwanza niliwaachia simu watoto waangalie movie wakati nimekwenda kuoga, ila natoka bafuni nakuta wifi yenu kawapokonya watoto simu na amejifungia chooni anapekua kila kona ya simu baada ya kuibamba haina password
Baada ya hapo ilibidi kuvunja mlango wa choo maana mdada alizimia kwa aliyoyashudia.

Hili tukio lilinitikisa sana mpaka kwa wazee wetu ila baada ya hapo maisha yaliendelea.

MWANA KULITAFUTA, MWANAKULIPATA
Usiweke tumaini kwa banadamu. Ukilijua hilo utaishi kwa amani.
 
Siku nyingine Akome kupekuwa simu ya mwanaume
Unasema tu babu hujui alichokikuta,ukute alikuta anatetwa jinsi afanyavyo mapenzi mpaka maumbile ya uccchii wake...'huyo mke wangu hakuna kitu,mimaji tu,anakata kiuno upande mmoja,mashavu ya k yapo upande Kama mvuta ugolo,yaani anattombbanna Kama zombie...'..katika vitu ambavyo mwanamke humuumiza ni kiyasema vibaya maumbile yake yaani k-utam
 
Jamani wanaume mtatumaliza! Hadi wa vijijini?

Sijui huyo dada alikutana na nini huko masikini?

Halafu alisoma meseji zote hadi za WhatsApp!

Apumzike kwa amani!

Japo mimi sitojiua, siwezi kumwachia mchepuko mume.
Nifah bado tunakuhitaji uvumilie utakachokutana nacho kwenye simu ya mumeo.

Sent from my Infinix X669 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom