Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

So sad..
Aliejiua kwa ajili yake ataoa mwanamke mwingine na yeye atasahaulika kwake kabisa.
Mungu atusaidie
 
Jamani wanaume mtatumaliza! Hadi wa vijijini?

Sijui huyo dada alikutana na nini huko masikini?

Halafu alisoma meseji zote hadi za WhatsApp!

Apumzike kwa amani!

Japo mimi sitojiua, siwezi kumwachia mchepuko mume.
Afwe tu na ujinga wake
 
So sad..
Aliejiua kwa ajili yake ataoa mwanamke mwingine na yeye atasahaulika kwake kabisa.
Mungu atusaidie
Unafikiri ni rahisi. Mara nyingi wanaume tunapenda wake zetu ila kutokana na matatizo ya akinamama, ya kule kwa chinova, unakuta hupati supply nzuri ya K. Hivyo unatafuta shockabsorber. Nakuapia akikutoka ni hasara kubuuubwa maishani mwako. Hatimaye unaweza kufa kwa msongo wa mawazo.

Mpaka mwenza ajiue, ni kuwa kulikuwepo na mahaba baina yao. Hivyo ni kama mwanamke alikuwa anamkomesha mumewe, na kweli kapatikana. Kuondokewa na Mke si sawa na girlfriend au mchepuko ujue
 
Jamani wanaume mtatumaliza! Hadi wa vijijini?

Sijui huyo dada alikutana na nini huko masikini?

Halafu alisoma meseji zote hadi za WhatsApp!

Apumzike kwa amani!

Japo mimi sitojiua, siwezi kumwachia mchepuko mume.
Simu ya mwanaume ni zaidi ya Bomu la nyuklia🤣

Mimi nashukuru simu ya mwanaume imenikomaza, imeninyoosha.....sasa nimeelewa wanaofundana mafiga matatu🤣🤣🤣
 
Jamani wanaume mtatumaliza! Hadi wa vijijini?

Sijui huyo dada alikutana na nini huko masikini?

Halafu alisoma meseji zote hadi za WhatsApp!

Apumzike kwa amani!

Japo mimi sitojiua, siwezi kumwachia mchepuko mume.
Hawa wapuuzi walitumiana hadi vikojolea na ndipo mzee baba wa nyundo akaanza kukifagilia kikojoleo cha mchepuko
 
Back
Top Bottom