Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

Kwakweli hii mambo ya kumpenda mtu hadi unajisahau kujipenda sio poa
Kwanza huyo unayempenda anakushangaa halafu anakudharau🤣🤣🤣 anajua huna pa kwenda.

Mume anayekuheshimu hawezi kuacha simu bila password, au akaacha chat zake za ovyo asifute.

Anajua akibambwa anaweza kuachwa....sasa huyo marehemu alibakiwa na options mbili, either asamehe au afe....kumuacha mume hawezi....ndo akachagua ya pili😭
 
Lakini… kwanini tusipendane, tukatunzana, tukafanya project, tukalea watoto na kutoka out pamoja?

Kwanini tufanye maisha kuwa magumu kwa kufanya mambo pekepeke ilhali tuko wawili na tunapendana?

Mtoto wa mama mkwe nampenda sana nae ananipenda, kwa kutambua hilo hatuwezi kufanyiana mabaya ya kupelekea kuuana/kujiua.
Na tunamtanguliza Mungu atusimamie.

Unaweza kubadilika na kuibadili nyumba yako kuwa sehemu ya furaha. Wenza wa kando hawajawahi kuleta amani ndani ya nyumba.
Nimekosa cha kukujibu🤣🤣🤣
Nachoweza kukwambia, huyo mtoto wa mama mkwe sio malaika, kukosea kaumbiwa binadamu......so unatakiwa ujipange Kwa lolote.

Ukimchukulia mwenza wako ni malaika....ni rahisi kuja kufanya maamuzi ya ajabu.
 
Kwanza huyo unayempenda anakushangaa halafu anakudharau🤣🤣🤣 anajua huna pa kwenda.

Mume anayekuheshimu hawezi kuacha simu bila password, au akaacha chat zake za ovyo asifute.

Anajua akibambwa anaweza kuachwa....sasa huyo marehemu alibakiwa na options mbili, either asamehe au afe....kumuacha mume hawezi....ndo akachagua ya pili😭
Ni nini kimewafanya wanawake wenzangu kuwa hivi jamani?
Mpaka nimeogopa!

Kwamba ili mume aniheshimu inabidi aweke simu passoword?

Hebu nimuite Heaven Sent aje anisaidie naona nimezidiwa!
 
Ndoa yako changa endelea kufurahia utamu wa ndoa......ndoa zote zilianzia huko, Ila hii Leo wengine wapo mahakamani.....imagine kutoka mahabani hadi mahakamani...

Ila ushauri wangu usimpende mtoto wa mwenzio ukajisahau nafsi yako.....hawa wanaume wanatofautiana majina tu🤣🤣🤣
 
Jamani wanaume mtatumaliza! Hadi wa vijijini?

Sijui huyo dada alikutana na nini huko masikini?

Halafu alisoma meseji zote hadi za WhatsApp!

Apumzike kwa amani!

Japo mimi sitojiua, siwezi kumwachia mchepuko mume.
Kwahiyo alivyokuwa amekunywa sumu na kuwaambia majirani alifikiri sumu itarudi nje?
Ndopale tunaposema fikir kabla ya kutenda
 
Ndoa yako changa endelea kufurahia utamu wa ndoa......ndoa zote zilianzia huko, Ila hii Leo wengine wapo mahakamani.....imagine kutoka mahabani hadi mahakamani...

Ila ushauri wangu usimpende mtoto wa mwenzio ukajisahau nafsi yako.....hawa wanaume wanatofautiana majina tu🤣🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 God Forbid!

Ngojeni siku nitawapa story, sio wapya hata tunazeekea mapenzini!
 
Ndoa yako changa endelea kufurahia utamu wa ndoa......ndoa zote zilianzia huko, Ila hii Leo wengine wapo mahakamani.....imagine kutoka mahabani hadi mahakamani...

Ila ushauri wangu usimpende mtoto wa mwenzio ukajisahau nafsi yako.....hawa wanaume wanatofautiana majina tu🤣🤣🤣
Nifah soma hii..amejimaliza balaa.kajitungua huyoo😀😀😀kivuruge wangu on the one n two🎤
 
Kwanza huyo unayempenda anakushangaa halafu anakudharau🤣🤣🤣 anajua huna pa kwenda.

Mume anayekuheshimu hawezi kuacha simu bila password, au akaacha chat zake za ovyo asifute.

Anajua akibambwa anaweza kuachwa....sasa huyo marehemu alibakiwa na options mbili, either asamehe au afe....kumuacha mume hawezi....ndo akachagua ya pili😭
we tunawazaga pamoja most of the time😀
 
Back
Top Bottom