Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

Nyie wanandoa muwe mnaweka nywila (password) kwenye simu zenu mtaokoa majanga mengi na mtakuja kunishukuru baadae hasa mnaposahau simu nyumbani au wakati mmelala fofofo wakati mwenzio yuko macho saa 24. Over!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…