Kwanza huyo unayempenda anakushangaa halafu anakudharau🤣🤣🤣 anajua huna pa kwenda.Kwakweli hii mambo ya kumpenda mtu hadi unajisahau kujipenda sio poa
Nimekosa cha kukujibu🤣🤣🤣Lakini… kwanini tusipendane, tukatunzana, tukafanya project, tukalea watoto na kutoka out pamoja?
Kwanini tufanye maisha kuwa magumu kwa kufanya mambo pekepeke ilhali tuko wawili na tunapendana?
Mtoto wa mama mkwe nampenda sana nae ananipenda, kwa kutambua hilo hatuwezi kufanyiana mabaya ya kupelekea kuuana/kujiua.
Na tunamtanguliza Mungu atusimamie.
Unaweza kubadilika na kuibadili nyumba yako kuwa sehemu ya furaha. Wenza wa kando hawajawahi kuleta amani ndani ya nyumba.
Hatari sana.Mungu wangu! Moyo umenipasuka nikivaa viatu vya mwenzangu! Kafariki kwa uchungu sana! Dah
Ni nini kimewafanya wanawake wenzangu kuwa hivi jamani?Kwanza huyo unayempenda anakushangaa halafu anakudharau🤣🤣🤣 anajua huna pa kwenda.
Mume anayekuheshimu hawezi kuacha simu bila password, au akaacha chat zake za ovyo asifute.
Anajua akibambwa anaweza kuachwa....sasa huyo marehemu alibakiwa na options mbili, either asamehe au afe....kumuacha mume hawezi....ndo akachagua ya pili😭
Ndoa yako changa endelea kufurahia utamu wa ndoa......ndoa zote zilianzia huko, Ila hii Leo wengine wapo mahakamani.....imagine kutoka mahabani hadi mahakamani...Ni nini kimewafanya wanawake wenzangu kuwa hivi jamani?
Mpaka nimeogopa!
Kwamba ili mume aniheshimu inabidi aweke simu passoword?
Hebu nimuite Heaven Sent aje anisaidie naona nimezidiwa!
Kwahiyo alivyokuwa amekunywa sumu na kuwaambia majirani alifikiri sumu itarudi nje?Jamani wanaume mtatumaliza! Hadi wa vijijini?
Sijui huyo dada alikutana na nini huko masikini?
Halafu alisoma meseji zote hadi za WhatsApp!
Apumzike kwa amani!
Japo mimi sitojiua, siwezi kumwachia mchepuko mume.
🤣🤣🤣🤣 God Forbid!Ndoa yako changa endelea kufurahia utamu wa ndoa......ndoa zote zilianzia huko, Ila hii Leo wengine wapo mahakamani.....imagine kutoka mahabani hadi mahakamani...
Ila ushauri wangu usimpende mtoto wa mwenzio ukajisahau nafsi yako.....hawa wanaume wanatofautiana majina tu🤣🤣🤣
dyadya naona ulivyojimaliza kwa shemu😁..usijimalize namna hiyo🙂Sijui nimtag mje kumkanya kabisa? Lol
Maana ninavyompenda nitakufa hata nguvu ya kunywa sumu kama mwenzangu sitokuwa nayo!
Leo mmeniamuliaaaaaaa! Loldyadya naona ulivyojimaliza kwa shemu😁..usijimalize namna hiyo🙂
Nifah soma hii..amejimaliza balaa.kajitungua huyoo😀😀😀kivuruge wangu on the one n two🎤Ndoa yako changa endelea kufurahia utamu wa ndoa......ndoa zote zilianzia huko, Ila hii Leo wengine wapo mahakamani.....imagine kutoka mahabani hadi mahakamani...
Ila ushauri wangu usimpende mtoto wa mwenzio ukajisahau nafsi yako.....hawa wanaume wanatofautiana majina tu🤣🤣🤣
hakuna cha mudq..ukute mke mwenzio.yumo humuhumu na wameshibana balaa😎Leo mmeniamuliaaaaaaa! Lol
Kwahiyo mnanipa muda gani wa kurudi hapa?
we tunawazaga pamoja most of the time😀Kwanza huyo unayempenda anakushangaa halafu anakudharau🤣🤣🤣 anajua huna pa kwenda.
Mume anayekuheshimu hawezi kuacha simu bila password, au akaacha chat zake za ovyo asifute.
Anajua akibambwa anaweza kuachwa....sasa huyo marehemu alibakiwa na options mbili, either asamehe au afe....kumuacha mume hawezi....ndo akachagua ya pili😭
Haaaaa wewe jamaniiiii!hakuna cha mudq..ukute mke mwenzio.yumo humuhumu na wameshibana balaa😎
hahha i bet uko below 29..hata sisi tulikua tunawaza kama wewe tu...Kumbe walaaaa...hakufikirii unavyomfikiria weweNi nini kimewafanya wanawake wenzangu kuwa hivi jamani?
Mpaka nimeogopa!
Kwamba ili mume aniheshimu inabidi aweke simu passoword?
Hebu nimuite Heaven Sent aje anisaidie naona nimezidiwa!
inategemea unajipresent aje😆😆....woyooKujiua hapana asee angeleft tu akakamatia bebs mwingine chap
tulikua hivihiviiiMsinitisheeeeee 🤣🤣🤣🤣🤣
Wala hata, early 30’s ndio nimeanza kuzipanda ngazi juzijuzi. Lolhahha i bet uko below 29..hata sisi tulikua tunawaza kama wewe tu...Kumbe walaaaa...hakufikirii unavyomfikiria wewe