Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

Sijiui kizembe aiseee hata nikute msg anatoka na mama ake 😂😂😂
Hivi mirinda nyeusi baridi ilivyo tamu vile namuachia nani anywe?
 
Mi ndio maana ya kwangu ina password ngumu kiasi,kitu ambacho kimesaidia,tuna amani kweli kweli...


Amani bandia.

Kwanini uishi double life? Kwa faida gani? Ipi thamani ya Siri ndani ya ndoa uliyoapa kuwa mwili mmoja?


Binaadam! Kutwa kutengeneza mazingira ya kujimaliza mwenyewe kila siku ya uhai wake.
 
nimeongea na mfalme sulemani kaniambia mwanaume ana haki ya kuwa michepuko hata mia ila mwanamke anapaswa kuwa na mwanaume mmoja tena kwa unyenyekevu wa hali ya juu
 


Kuna aina nyingi ya maradhi ya akili.

Mmoja wapo ni kuona kwamba ni sahihi kufanya makosa kwa kutumia udhaifu wako utokanao na kushindwa kwako kuyaongoza maumbile yako na hatimaye kuyaacha yakuongoze.

Tiba zipo.
 
 
Labda
Kaona mjegeje unaingizwa kwenye makalio ya mumewe.
 
Mimi sintamuuliza ila ningeacha simu ajue nimejua, haki ya Mungu yaani angejuta. Maana kwanza anaishi kwa wasiwasi pili hata ukimtazama anakuuliza nimefanya nini mimi teeena. Yaani ataishi km malaika kwa kipindi kirefu sana, na home atarudi sana saa 11 jioni. Alafu miye bize na maisha yangu simuulizi heri wa shari bize na maisha yangu na kazi watoto yaani ile kutengwa huwa anadata. Kuna best yangu alikuta karatasi ina namba za mchepuko yaani aliipiga hiyo namba akamwambia huyu mtu ana watoto watano na ana sukari miye mwenyewe namkwekwesa tuu kitandani bora utanisaidia. Alafu akamfata baba mwenye nyumba akamwambia kuanzia leo nguo kafue drycleaner siataki kuona vimemo vyako.
 
Mimi alitoa simu yake password, naletewa mizawadi kama yote.....halafu Mimi simu yangu ina password, na sina mpango wa kumpatia, hilo linamuuma hadi kesho....Ila atakufa nalo, sitampa password yangu🤣🤣 Bora tuachane nywila sitoi🤣🤣🤣
 
Yaani wee acha tuu, miye nijiuwe thubutu yake jicho langu tuu huwa anasema nimefanya nini mimi teena. Akiniudhi huwa anaswali mpaka namuonea huruma. Zile za kuulizwa msipike leo tutakula out huwa zinakuja mara nyingi siyo kwa kujichekesha huko alafu husamehi.
 
Ila kusoma simu ya mume ni raha jamani acheni wee
Siku moja unipe baba watoto najua uko hapa hata dakika tano tu jamani sio kwa kukaba huko na wala huchepuki
 
Me wangu nilimuambia tubadilishane akasema atanipa yake ila yangu hataki.ila nilikuwa najaribu mtambo tu nilikuwa na vimeo kama vyote enzi hyo niko wa motoo
Sasa hivi kweli nimekituliza mazima .naitamani simu yake kwa kweli
 
Me wangu nilimuambia tubadilishane akasema atanipa yake ila yangu hataki.ila nilikuwa najaribu mtambo tu nilikuwa na vimeo kama vyote enzi hyo niko wa motoo
Sasa hivi kweli nimekituliza mazima .naitamani simu yake kwa kweli
Achana nayo upate siku nyingi za kuishi duniani....usije kutanua Moyo bure, India mbali, halafu gharama kubwa🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…