Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

Sijiui kizembe aiseee hata nikute msg anatoka na mama ake 😂😂😂
Hivi mirinda nyeusi baridi ilivyo tamu vile namuachia nani anywe?
 
nimeongea na mfalme sulemani kaniambia mwanaume ana haki ya kuwa michepuko hata mia ila mwanamke anapaswa kuwa na mwanaume mmoja tena kwa unyenyekevu wa hali ya juu
 
Hali kama hii hutokana na mmoja kumwamini na kumpenda mwenza kupitiliza.
Action zinakuwa hivi:
1. Mwanaume akisalitiwa mara nyingi atachukua uamuzi wa kutoa roho ya msaliti.

Kwa wapenzi si vyema kumwaminisha mwenzako kuwa wewe ni malaika ama kwamba mwenzako hawezi kusalitika..

Yote kwa yote usaliti wa mapenzi ni sumu mbaya sana.

Kwa zama za nyakati hizi ni vigumu sana kukuta mwanaume ambae hapigi shoo za nje labda awe mgonjwa,hana pesa ama ameshiba dini kupindukia.

2. Mwanamke akisalitiwa mara nyingi huchukua uamzi wa kujitoa roho.

Kiufupi 90% ya wanaume tunapiga mechi za ndondo ila hatuachi majukumu yetu kwa ndoa na famili. Kama wapo wasiopiga ndondo basi ni kwa sababu maalum mfano ugonjwa, ukata ama dini imekolea sana.

Kama unajifahamu kuwa we ni mwanaharakati ni muhimu sana kutoruhusu mwenzako kusoma yaliyomo kwenye simu zako.

Nakumbuka mi tukio la kwanza niliwaachia simu watoto waangalie movie wakati nimekwenda kuoga, ila natoka bafuni nakuta wifi yenu kawapokonya watoto simu na amejifungia chooni anapekua kila kona ya simu baada ya kuibamba haina password
Baada ya hapo ilibidi kuvunja mlango wa choo maana mdada alizimia kwa aliyoyashudia.

Hili tukio lilinitikisa sana mpaka kwa wazee wetu ila baada ya hapo maisha yaliendelea.

MWANA KULITAFUTA, MWANAKULIPATA

Kuna aina nyingi ya maradhi ya akili.

Mmoja wapo ni kuona kwamba ni sahihi kufanya makosa kwa kutumia udhaifu wako utokanao na kushindwa kwako kuyaongoza maumbile yako na hatimaye kuyaacha yakuongoze.

Tiba zipo.
 
View attachment 2809543
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma (ACP) Marco G. Chilya akielezea kuhusu tukio hilo

Mwanamke mmoja aliyefahamika kwa jina la Marietha Bosco Sagana (32) Mkazi wa Kitongoji cha Matarawe, Kijiji cha Marungu Kata ya Tingi Tarafa ya Mpepo, Wilaya ya Nyasa amefariki Dunia wakati anapatiwa matibabu baada ya kwa kunywa sumu ya kuulia Wadudu chanzo kikiwa ni wivu wa Mapenzi.

Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP) Marco G. Chilya amesema tukio hilo limetokea Novemba 8, 2023 Saa mbili usiku, ambapo mume wa marehemu alikuwa ameenda Shamba lakini alisahau simu yake nyumbani ndipo Marietha (marehemu) alivyoiona simu hiyo akaanza kuipekuwa.
View attachment 2809557
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Ruvuma (ACP) Marco G. Chilya
Marietha alisoma meseji zote ikiwemo za WhatsApp na akafanikiwa kukuta jumbe za mume wake akiwasiliana na mwanamke Mwingine ndipo Marehemu alishindwa kuvumilia, hivyo akachukua Dawa ya Kuulia Wadudu ya Mahindi (ACTERIC) ambayo iliandaliwa kwa matumizi ya Shamba na kuinywa.

Baada ya kutenda tukio hilo majirani wanaoishi nae waligundua kitendo alichokifanya marehemu baada ya kuwaambia kuwa amekunywa dawa ya wadudu ambapo wakachukua uamuzi wa kumkimbiza Hospitali ya Mission Maguu ndipo akafariki Dunia wakati akipatiwa matibabu.
 
Labda
Kaona mjegeje unaingizwa kwenye makalio ya mumewe.
 
Mimi wangu alitaka kujiua yeye🤣🤣🤣 Manake nilitulia, nilikuwa namfanyia kila kitu kama kawaida....nampikia, namfulia, akiomba utamu nampa.....akapagawa🤣🤣🤣🤣
Ila hadi Leo hajiamini, anajua kuna tukio linamngoja🤣🤣🤣
Mimi sintamuuliza ila ningeacha simu ajue nimejua, haki ya Mungu yaani angejuta. Maana kwanza anaishi kwa wasiwasi pili hata ukimtazama anakuuliza nimefanya nini mimi teeena. Yaani ataishi km malaika kwa kipindi kirefu sana, na home atarudi sana saa 11 jioni. Alafu miye bize na maisha yangu simuulizi heri wa shari bize na maisha yangu na kazi watoto yaani ile kutengwa huwa anadata. Kuna best yangu alikuta karatasi ina namba za mchepuko yaani aliipiga hiyo namba akamwambia huyu mtu ana watoto watano na ana sukari miye mwenyewe namkwekwesa tuu kitandani bora utanisaidia. Alafu akamfata baba mwenye nyumba akamwambia kuanzia leo nguo kafue drycleaner siataki kuona vimemo vyako.
 
Mimi alitoa simu yake password, naletewa mizawadi kama yote.....halafu Mimi simu yangu ina password, na sina mpango wa kumpatia, hilo linamuuma hadi kesho....Ila atakufa nalo, sitampa password yangu🤣🤣 Bora tuachane nywila sitoi🤣🤣🤣
 
Yaani wee acha tuu, miye nijiuwe thubutu yake jicho langu tuu huwa anasema nimefanya nini mimi teena. Akiniudhi huwa anaswali mpaka namuonea huruma. Zile za kuulizwa msipike leo tutakula out huwa zinakuja mara nyingi siyo kwa kujichekesha huko alafu husamehi.
 
Ila kusoma simu ya mume ni raha jamani acheni wee
Siku moja unipe baba watoto najua uko hapa hata dakika tano tu jamani sio kwa kukaba huko na wala huchepuki
 
Mimi alitoa simu yake password, naletewa mizawadi kama yote.....halafu Mimi simu yangu ina password, na sina mpango wa kumpatia, hilo linamuuma hadi kesho....Ila atakufa nalo, sitampa password yangu[emoji1787][emoji1787] Bora tuachane nywila sitoi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Me wangu nilimuambia tubadilishane akasema atanipa yake ila yangu hataki.ila nilikuwa najaribu mtambo tu nilikuwa na vimeo kama vyote enzi hyo niko wa motoo
Sasa hivi kweli nimekituliza mazima .naitamani simu yake kwa kweli
 
Achana nayo upate siku nyingi za kuishi duniani....usije kutanua Moyo bure, India mbali, halafu gharama kubwa🤣🤣
 
Back
Top Bottom