Mpetde
JF-Expert Member
- Sep 5, 2022
- 3,955
- 6,546
Na wewe unataka unywe dawa ya kuoshea masink ya chooni?Me wangu nilimuambia tubadilishane akasema atanipa yake ila yangu hataki.ila nilikuwa najaribu mtambo tu nilikuwa na vimeo kama vyote enzi hyo niko wa motoo
Sasa hivi kweli nimekituliza mazima .naitamani simu yake kwa kweli