Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

Me wangu nilimuambia tubadilishane akasema atanipa yake ila yangu hataki.ila nilikuwa najaribu mtambo tu nilikuwa na vimeo kama vyote enzi hyo niko wa motoo
Sasa hivi kweli nimekituliza mazima .naitamani simu yake kwa kweli
Na wewe unataka unywe dawa ya kuoshea masink ya chooni?
 
Ni nini kimewafanya wanawake wenzangu kuwa hivi jamani?
Mpaka nimeogopa!

Kwamba ili mume aniheshimu inabidi aweke simu passoword?

Hebu nimuite Heaven Sent aje anisaidie naona nimezidiwa!
Twiiiiiiin; nipo hapa. Kumbe kuna definition mpya tena ya "heshima😲😲😲😲😲😲. Ya kwanza ilikuwa mume achepuke kwa heshima; sasa hivi mume anayekuheshimu; anaweka simu yake password. Mimi huyu mnyaki; mtoto wa mama mkwe aniwekee password hehehehehehehehehehe
 
Kwa nini mapenzi yana nguvu kiasi hiki?
RIP mama ulikuwa unapigania chako

Wanawake kimbukeni simu ya mwanaume ni biological bomu
Ndiyo burudani pekee ya viumbe hai
 
Twiiiiiiin; nipo hapa. Kumbe kuna definition mpya tena ya "heshima[emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44][emoji44]. Ya kwanza ilikuwa mume achepuke kwa heshima; sasa hivi mume anayekuheshimu; anaweka simu yake password. Mimi huyu mnyaki; mtoto wa mama mkwe aniwekee password hehehehehehehehehehe
Sijawai kushika simu ya mtu japo naitamani hatare. Kwamba ina pasword au haina sijui.ila naamini hamna kitu .hana mtu mwingine namuamini hivo
 
Unajiuaje kwa sababu ya mtu uliyekutana naye ukubwani tena Unaweza ukakuta aliolewa alishatolewa bikra na wanaume wengine ujasiri wa kufa kisa mapenzi kautoa wapi? Huyu alikuwa mgonjwa wa akili wala hakuna sababu ya kumtupia mama yake lawama kuwa hakumfunda ndoa maana yake ni nini na namna ya kukabiliana na changamoto zake.
 
Sijawai kushika simu ya mtu japo naitamani hatare. Kwamba ina pasword au haina sijui.ila naamini hamna kitu .hana mtu mwingine namuamini hivo
Kwamba unaitamani; ila unaogopa kuishika au? Simamia unachokiamini as long as unaona mambo yanaenda freshhhh
 
Back
Top Bottom