Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

Mke ajiua kwa sumu ya Wadudu baada ya kupekua na kusoma SMS kwenye simu ya mumewe

Ndoa yako changa endelea kufurahia utamu wa ndoa......ndoa zote zilianzia huko, Ila hii Leo wengine wapo mahakamani.....imagine kutoka mahabani hadi mahakamani...

Ila ushauri wangu usimpende mtoto wa mwenzio ukajisahau nafsi yako.....hawa wanaume wanatofautiana majina tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sie wengine unatuonea bure tu. Mi napendaga mabinti za watu hadi wanaanza kuamini kwamba sina pa kwenda. Hapo ndipo wanapokutana na red card without VAR review. Sibembelezekagi[emoji1787]
 
Wengine tunakuta na sms za ajabu kwa simu za wake zetu afu mbona atujiui 😂😂😂

Unakuta anaulizwa na njemba, “ uko single” anajibu ndio”, una mtoto? Anajibu ndio ila baba ake alishafariki. Unaishiya kucheka tu 🤣🤣🤣🤣
 
Twiiiiiiin; nipo hapa. Kumbe kuna definition mpya tena ya "heshima😲😲😲😲😲😲. Ya kwanza ilikuwa mume achepuke kwa heshima; sasa hivi mume anayekuheshimu; anaweka simu yake password. Mimi huyu mnyaki; mtoto wa mama mkwe aniwekee password hehehehehehehehehehe
Kwakweli hiyo definition mpya ya heshima ni password na kufuta kila kitu imenishinda!

Acha tuendelee kupambana tuliobaki na imani kwenye mapenzi, wenzetu wameshaaga mashindano. Lol
 
Simu ya mwanaume haiguswi sasa uyu marehemu ilikuwaje mpk aanze kupekua simu ya mzee ona sasa kilichomkuta. Wito kwa kina mama acheni tabia ya kushika simu za wanaume zenu
 
Sijawai kushika simu ya mtu japo naitamani hatare. Kwamba ina pasword au haina sijui.ila naamini hamna kitu .hana mtu mwingine namuamini hivo
Angalia tu na wewe usiji ----

Maana inaonekana unapenda hatari [emoji1]

Ova
 
Simu ni mali ya mtu binafsi. Tena kwa ajili ya usalama wako na ulinzi wa taarifa binafsi, unashauriwa kuwa na njwila ngumu ili isiwe rahisi kwa wengine kuing'amua.
Na hutakiwi kwa vyovyote vile mtu kujua nywila yako.
 
Isipokuwa mtu akitafuta kuijua password ili afungue Simu kuona yaliyomo basi iwe for her own risks Au siyo?!
 
Mwanaume mwingine anafanya kwa heshima anaenda kupatia utulivu mbali kwa mchepuko huko lakini bado kuna mwanamke maana mpumbavu Eti anaenda kumfuatilia Mwanaume hadi huko mbali mkoa mwingine.

Unapita vijiwe vya bodaboda kuuliza huwa analala loji gani?

Huwa anakuwa na mwanamke?

Unaenda kwenye loji kutafuta uthibitisho unaupata.

Sijui ni kwa nini Imeandikwa Mwanamke mpumbavu hubomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe.
 
Kwahiyo kabla hajafa alisema kilichomuua ni SMS..
WATANZANIA..!!
 
Inashangaza sana imagine mwanamke kama hivyo anajiua just kwa kukuta sms tu. [emoji848][emoji848]

Na Kuna wanawake wengine wengi tu huvunja ndoa zao kwa kukuta sms kwenye Simu za wanaume wao, is this serious? [emoji848][emoji848]

Halafu unakuta tabia hizi za kiburi wanawaambukiza mabinti zao wakija kuolewa nao wata react hivyo hivyo wakizani ndivyo ipasavyo kumbe sio . Hiyo ndio huitwa “mapokeo “
 
Wanapekua simu, wadai talaka Mwanaume anaona isiwe tabu mna achana.

Lakini atakaenda kwa waganga na kwa wachungaji kutafuta kurudiana ni mwanamke.

Victims ni wanawake always.

Mwamposa anawafundisha vizuri sana wanawake.

Mwanamke hata mpambe akija mwende kumfumania mumeo kataa , itakula kwako eventually ukienda kufumania.

Labda iwapo uko tayari kwa gharama zote.

Utaenda kumfania atakupa kipigo atakwambia ummdhalilisha akiwa kwenye utulivu wake ambapo ameukosa kwako ,
Na mwisho ukimtishia talaka anaitoa bila kusita atakwambia mapenzi Hayalasimishwi ila kama kuna mali wanaume wengi hawakubali kuibiwa mali zao na mwanamke ambae hajachangia hata shilingi 100 ktk kupata hizo mali .

Mwamba ni Dokta Juma Mwaka na Davis. [emoji123]
 
Sasa nikasirike nini wakati nilikuwa na bebi wa akiba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sana sana nilikuwa nataka talaka, yeye hataki kuniacha, nilivyoona anataka kujiua nikaona nitulize maruhani.....[emoji23][emoji23][emoji23]
Mwanamke unajisifu umalaya?ndio mana mnakuwa na K pana Kwa kubadili mboo.Zinazoumia na kuchakaa ni sehemu zako za siri
 
Wanaume wengi wamestuka siku hizi wanawake kuwatafutia makosa wanaume ikiwepo kupekua simu zeo ili wapate sababu ya kuachana wagawane mali .

Mali niwe za watoto au ambae ametoa 100% ya gharama kuipata.
 
Umdharau huku mwenzako anamchepuko nje?
Hujuw ndio utakuwa umemuongezea uhuru wa kujinafac zaidi huko nje?
Wanawake bhana!!!
Hujaowa hujawai kukaa na mke ndiyo maana umasema hivyo, na ndoa siyo ya juzi juzi .
 
Back
Top Bottom