KENZY
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 32,529
- 76,691
Bado wewe...😂Mapenzi 😑
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bado wewe...😂Mapenzi 😑
Simu ya mtu ni privacy ya mtu sio mume tu,Mambo ya kujitakia, simu ya mume unagusa ya nini? Kukosa adabu !!
Sie wengine unatuonea bure tu. Mi napendaga mabinti za watu hadi wanaanza kuamini kwamba sina pa kwenda. Hapo ndipo wanapokutana na red card without VAR review. Sibembelezekagi[emoji1787]Ndoa yako changa endelea kufurahia utamu wa ndoa......ndoa zote zilianzia huko, Ila hii Leo wengine wapo mahakamani.....imagine kutoka mahabani hadi mahakamani...
Ila ushauri wangu usimpende mtoto wa mwenzio ukajisahau nafsi yako.....hawa wanaume wanatofautiana majina tu[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwakweli hiyo definition mpya ya heshima ni password na kufuta kila kitu imenishinda!Twiiiiiiin; nipo hapa. Kumbe kuna definition mpya tena ya "heshima😲😲😲😲😲😲. Ya kwanza ilikuwa mume achepuke kwa heshima; sasa hivi mume anayekuheshimu; anaweka simu yake password. Mimi huyu mnyaki; mtoto wa mama mkwe aniwekee password hehehehehehehehehehe
Kwa ninavyompenda, nashindwa kuahidi moja kwa moja kutokushika.Kwa jibu hili maana yake utashika tu, japo hutashika sana kama ambavyo ulipanga awali. Lol
Ova
Labda kama mimi sio mimi... nitakufa na vitu vingine ila sio mapenziBado wewe...😂
Angalia tu na wewe usiji ----Sijawai kushika simu ya mtu japo naitamani hatare. Kwamba ina pasword au haina sijui.ila naamini hamna kitu .hana mtu mwingine namuamini hivo
Uwekezaji wa pesa na moyo ndio sababuCjui kwann nikiona mtu amefariki kisa mapenzi, nafurahi na kuchekelea mnoo.
Safii sanaa na wengine pia wafe kwa ujinga wa kuendekeza mapenzi.
Umdharau huku mwenzako anamchepuko nje?Ntakavyomdharau mwenyewe ataita kikao sipendi ujinga mimi.
Mwanamke unajisifu umalaya?ndio mana mnakuwa na K pana Kwa kubadili mboo.Zinazoumia na kuchakaa ni sehemu zako za siriSasa nikasirike nini wakati nilikuwa na bebi wa akiba[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sana sana nilikuwa nataka talaka, yeye hataki kuniacha, nilivyoona anataka kujiua nikaona nitulize maruhani.....[emoji23][emoji23][emoji23]
Hujaowa hujawai kukaa na mke ndiyo maana umasema hivyo, na ndoa siyo ya juzi juzi .Umdharau huku mwenzako anamchepuko nje?
Hujuw ndio utakuwa umemuongezea uhuru wa kujinafac zaidi huko nje?
Wanawake bhana!!!