Mke akiondoka nyumbani kwa ugomvi je? Anafuatwa au atarudi tu. Mwenyewe

Desierto

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2019
Posts
901
Reaction score
3,112
Wiki imeisha yupo kwa dada yake je? Nimfuate au niendelee kumsubiria

Maana mm nimesema siwezi mfuata hata kwa dawa huyu mama watoto wangu ambaye ni jeuri.

Ugomvi ni baada ya kujibishana halafu yeye akanijibu simtishi kwa lolote. Hivo nikamwambia sitamwachia hela ya kula tuone akajibu sawa nisubirie kama atatetereka.

Siku tatu tu akakimbia kwa dada yake anataka nimfuate.
 
Attachments

  • 1749244538452-1726711666.jpg
    1749244538452-1726711666.jpg
    569.6 KB · Views: 35
Wiki imeisha yupo kwa dada yake je? Nimfuate au niendelee kumsubiria

Maana mm nimesema siwezi mfuata hata kwa dawa huyu mama watoto wangu ambaye ni jeuri.

Ugomvi ni baada ya kujibishana halafu yeye akanijibu simtishi kwa lolote. Hivo nikamwambia sitamwachia hela ya kula tuone akajibu sawa nisubirie kama atatetereka.

Siku tatu tu akakimbia kwa dada yake anataka nimfuate.
Mwache aende.. Hujui umeepushiwa nini.. Fanya makosa yote lakini si kumfuata
 
No Reforms no election
 
Funga vitu vyake,vipeleke kwao,kwako asirudi tena
 
Mwache aende.. Hujui umeepushiwa nini.. Fanya makosa yote lakini si kumfuata
Nimegombana na baba mama pia eti nimfuate

Niliishi naye kijijini mwaka mmoja hivo wanaamini mm ndo nina matatizo

Ila tatizo la huyu mke wangu ni moja tu jeuri.

Kukupa mpaka apende na ukilazimisha kwanza nakuwa sina tena stimu maana atajivuta vuta sana

Ni mtu wa kununa nuna kila wakati waweza pita ukafikiri hakuna watu kumbe tupo ila no story. Utaongea tu mwanaume mpaka usinzie utaongea maneno kumi yeye matatu.
 
Mkuu ndio maana nimekwambia mke wako ana kitu asikilizwe nawewe punguza u babe iyo kitu haiombwi hivyo kwa kila mwanamke
 
Nimegombana na baba mama pia eti nimfuate

Niliishi naye kijijini mwaka mmoja hivo wanaamini mm ndo nina matatizo

Ila tatizo la huyu mke wangu ni moja tu jeuri.

Kukupa mpaka apende na ukilazimisha kwanza nakuwa sina tena stimu maana atajivuta vuta sana

Ni mtu wa kununa nuna kila wakati waweza pita ukafikiri hakuna watu kumbe tupo ila no story. Utaongea tu mwanaume mpaka usinzie utaongea maneno kumi yeye matatu.
1749245614563.jpg
 
Hata mambo madogo mpaka muyalete humu?
Kanunue chupi moja ya mtumba ya kike, skin tight moja ya kike na khanga moja zote za mtumba. Zifue na nguo zako, zianike nje alfajiri kisha nenda kwenye shughuli zako.
Mashoga zake wakiona hiyo chupi ya kike imeanikwa watamfikishia habari na majibu utakutana nayo jioni ukirudi kazini.
 
Unamnyimaje chakula mkeo? We ndio unahangaika muda huu ye katulia kwa Dadake alikoenda kutafuta chakula. Mwombe radhi onyesha upendo.
 
Katika kosa utakalolifanya ni kumfata mke. Wewe kaza atakuja mwenyewe

Ila kama unaupwiru hapo ndio kazi maana kichwa cha chini kikifanya kazi cha juu kinagoma kufanya kazi.
 
Back
Top Bottom