Mwache aende.. Hujui umeepushiwa nini.. Fanya makosa yote lakini si kumfuataWiki imeisha yupo kwa dada yake je? Nimfuate au niendelee kumsubiria
Maana mm nimesema siwezi mfuata hata kwa dawa huyu mama watoto wangu ambaye ni jeuri.
Ugomvi ni baada ya kujibishana halafu yeye akanijibu simtishi kwa lolote. Hivo nikamwambia sitamwachia hela ya kula tuone akajibu sawa nisubirie kama atatetereka.
Siku tatu tu akakimbia kwa dada yake anataka nimfuate.
Hahaha😂Kuna shida kwenye ndoa yenu. Nadhauri No reform
No Reforms no electionWiki imeisha yupo kwa dada yake je? Nimfuate au niendelee kumsubiria
Maana mm nimesema siwezi mfuata hata kwa dawa huyu mama watoto wangu ambaye ni jeuri.
Ugomvi ni baada ya kujibishana halafu yeye akanijibu simtishi kwa lolote. Hivo nikamwambia sitamwachia hela ya kula tuone akajibu sawa nisubirie kama atatetereka.
Siku tatu tu akakimbia kwa dada yake anataka nimfuate.
Funga vitu vyake,vipeleke kwao,kwako asirudi tenaWiki imeisha yupo kwa dada yake je? Nimfuate au niendelee kumsubiria
Maana mm nimesema siwezi mfuata hata kwa dawa huyu mama watoto wangu ambaye ni jeuri.
Ugomvi ni baada ya kujibishana halafu yeye akanijibu simtishi kwa lolote. Hivo nikamwambia sitamwachia hela ya kula tuone akajibu sawa nisubirie kama atatetereka.
Siku tatu tu akakimbia kwa dada yake anataka nimfuate.
Alipoondoka we shikilia apo apo. UsimtafuteSio kidogo kila siku inazidi ila kwa sasa nina mwaka sitaki tena kumpiga kama zamani now akinibania naenda zangu nje bila taabu
Nashukuru ananilelea wanangu
Nimegombana na baba mama pia eti nimfuateMwache aende.. Hujui umeepushiwa nini.. Fanya makosa yote lakini si kumfuata
Mkuu ndio maana nimekwambia mke wako ana kitu asikilizwe nawewe punguza u babe iyo kitu haiombwi hivyo kwa kila mwanamkeNimegombana na baba mama pia eti nimfuate
Niliishi naye kijijini mwaka mmoja hivo wanaamini mm ndo nina matatizo
Ila tatizo la huyu mke wangu ni moja tu jeuri.
Kukupa mpaka apende na ukilazimisha kwanza nakuwa sina tena stimu maana atajivuta vuta sana
Ni mtu wa kununa nuna kila wakati waweza pita ukafikiri hakuna watu kumbe tupo ila no story. Utaongea tu mwanaume mpaka usinzie utaongea maneno kumi yeye matatu.
Nimegombana na baba mama pia eti nimfuate