Jamaa ana uhakika mkewe yupo kwa dadaake kweli..? Au hapo kwa dadaake anashinda tu mchana 🤔Unamnyimaje chakula mkeo? We ndio unahangaika muda huu ye katulia kwa Dadake alikoenda kutafuta chakula. Mwombe radhi onyesha upendo.
Jamaa mwenyewe anaitwa la saba, unategemea mke awe la ngapi..?😄Kwa huo muandiko wa mke wako ulimuachisha shule akiwa anasoma memkwa ukaenda kumuoa au?
Achana naye atarudi. Ukimfuata atajiona keki. Mwache aonje machungu. Kwa kuwa kaondoka yeye mwenyewe hujamfukuza na ugomvi kaanzisha yeye. Huna kosa mwache. Tena ukiona kimya anza kutafuta na mchepuko akisikia tu atarudi Au kama alivyo shauri hapo juu tafuta chupi, tight Anika Kwenye kamba Afu wewe ondoka jioni utaona huyu hapa 😂 😂 😂Wiki imeisha yupo kwa dada yake je? Nimfuate au niendelee kumsubiria
Maana mm nimesema siwezi mfuata hata kwa dawa huyu mama watoto wangu ambaye ni jeuri.
Ugomvi ni baada ya kujibishana halafu yeye akanijibu simtishi kwa lolote. Hivo nikamwambia sitamwachia hela ya kula tuone akajibu sawa nisubirie kama atatetereka.
Siku tatu tu akakimbia kwa dada yake anataka nimfuate.
bonge la technicHata mambo madogo mpaka muyalete humu?
Kanunue chupi moja ya mtumba ya kike, skin tight moja ya kike na khanga moja zote za mtumba. Zifue na nguo zako, zianike nje alfajiri kisha nenda kwenye shughuli zako.
Mashoga zake wakiona hiyo chupi ya kike imeanikwa watamfikishia habari na majibu utakutana nayo jioni ukirudi kazini.
Hapo wote mnamakosa,Wiki imeisha yupo kwa dada yake je? Nimfuate au niendelee kumsubiria