Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Hasira zingine buana..sasa angeamua kuchukua hizo mali ndio ungekuwa umemkomoa..?? #CHAI
Kwa nilikokua nmefikia,
Mali hazikua big deal kwangu,
Nilidharaulika na kufedheheka sana
 
Mwenzio alikua anatestii tu[emoji28] mmh siji kujaribu mchezo huu kamwe[emoji23]
Ha ha ha...
usijaribu kabisa dada angu,
sio vizur hata, ukianza hizo Maneno mmeo atakuangalia jicho la mashaka sana
 
Sana, mtu anakimbia na mavitu ambayo mtoto wa kiume ukiwa na hela kuyanunua ni siku moja tu.
Ha ha ha...
Sahii kabisa,
Sijui Ni pepo au vipi,
Sometimes wenzetu Hawa Wana Ujinga mwngn sn,Sema ndo mama zetu,Tuwavumilie
 
Usikanyage tena ukweni/ kwa mashangazi kwanza wao wapo nyumbani
Huwa nakwenda magomen kwa matukio maalum TU Kama misiba,harusi n.k na sikai Sana,nafany kilichonileta afu naondoka. Otherwise awepo baba mkwe ndo tutaku beneti na sio mtu mwngn.
 
Ha ha ha...
usijaribu kabisa dada angu,
sio vizur hata, ukianza hizo Maneno mmeo atakuangalia jicho la mashaka sana
Si ndo maana kuna jf😅 tunaokota vya kuokota tunajifunza tukirudi makwetu tunakua wapole😂 na hivi sijawahi kutingisha kiberiti wallah sithubutu. Nimeambulia kitu cha kujifunza hapa🙌🏼🤣
 
Duh ww jamaa uko vr
 
Nadhani kwa upande wangu kuna issues ambazo hazitoweza kuwa fixed maana alisha kuja kusuluhisha kaka yao mchungaji ila mwezi wa 5 yeye mwenyewe huyo kaka alifanya swala ambalo mpaka sasa nashindwa elewa ni mchungaji wa aina gani japo wakati anafanya cdhani kama alikua anajua mwisho wa alicho kianzisha kitafikia wapi! Niamuendea mchungaji mwenzie nyumbani kwake na kuomba ushauri na kumuelezea issue nzima ( mm, wife na mchungaji na mkewe sebuleni kwake) baada ya kumaliza kusimulia swala lile kabla mchungaji kujibu akajibu mkewe " aisee haipo sawa kabisa na hata kama anasababu bado kama mchungaji hakutakiwa kufanya alichofanya " kisha mchungaji mwenyewe akaanza kumtetea mwenzie huku akiwa hana hoja yoyote ila aliishia kusema " mbali na uchungaji nae pia ni binaadamu nita kaa nae kuzungumza nae " wife hakua na la kujibu nae akawa hana jibu zaidi ya kukubali aliyofanya kaka yake, hivyo mpaka sasa hakuna mwenye imani na mwenzie wala ndugu yeyote mwenye imani na ndugu mwenzie pande zote! Mm ndio naenda nae kisungura huyu mtu kwa 7bb ya mtoto lakini sipo kwny kumzingatia kabisa
 
Kwenye uzi wako nimejiona mimi mtupu.
Uzi una funzo kubwa mno kwa wanandoa na wanandoa watarajiwa.
 
Huu mjadala ulioleta leo kiboko! Kwa upande wangu umefukua makaburi matatu hapa nimegusia mawili hili lingine tulisakafia na zege ndio nimeagiza surululu! Shida sana kuna vitu mtu unaweza kupitia mpaka ukashindwa kuelewa hua inakuaje vinatokea na bahati mbaya huwezi kugundua mapema mpaka mambo yawe yamesha haribika and no room to fix
 
Kuna siku kashinda dukan asbh mpk saa 11 jioni na mtoto mgongoni anabembeleza. Mpk nafunga anabembeleza anabubujikwa na machozi, nilivofunga nikaenda nyumbani.
Dah! Una roho ngumu sana DeepPond hivi hukua hata na chembe ya huruma kwa mtoto wako😢😢 Baba wa aina gani wewe kisa mali ndio ukakitesa kiumbe kisicho na hatia, Ingelikua nafuu ungemchukua mtoto kisha ungemwacha huyo mwanamke apambane na dunia yake🧐🧐
 
Ukipata baba/mama mkwe mwenye hekima ni raha sana.

Uzuri huyo binti alikuwa na mapenzi ya kweli. Angekuwa gume gume ingekuwa mserereko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…