Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Yah! Sahii kabisa,
Nyie wanawake mnawaamini Watu kirahisi Sana.

Can u imagine mateso yote aliyokua anapitia wife, Kaka ake aliekua anampelekea pesa na mizigo Hakuna alichomsaidia.

Baadae wife ananambia kule kwao,
Shangaz zake walianza kumsimanga sn kua kavunja ndoa yake kwa ujinga wake mwnyw, hawakumtuma wao akaombe kugawana Mali akiwa dukan

Wkt anasema wao ndo walimpa Lile wazo kua tukiachana, lazma tutagawana. Usaliti ule Ulimsababishia asione Tena umuhimu wa kua duniani akataka kujiua Mara 2 maana nyumban wanamsema sn na uku kwangu ndo nmegoma kabisa kumsamehe.

Mwisho wa siku Yamemkuta kila mtu kamsaliti.
Kwa hili naona amejifunza sana..ila bado inabidi usimuamini kwa asilimia zote endelea kumkumbusha asije akajisahau
 
Kwa hili naona amejifunza sana..ila bado inabidi usimuamini kwa asilimia zote endelea kumkumbusha asije akajisahau
Kuna kipind aliomba nimrudishe nikakata,
Mpaka leo kabaki kua mama wa nyumbani,

Sema baada ya kelele nyingi nikamfungulia mradi wa bodaboda za mikataba wanamletea kipande kila siku,akazembea ukapitia changamoto nyingi ukafa.

Sikuhizi anao mradi wa ng'ombe wa maziwa na kuuza maji ya kisima ambao anausimamia mwnyw pale pale nyumbani kwa ajili ya pesa zake ndogo ndogo kujikimu.
 
Kwenye mashangazi ndo panachekeshaa😂😂😂😂
..binti yetu mzuri bado mchanga!🤣 ila we jamaa hao wamama mpk wanaanza izo shombo mbele yako jitafakari huwenda una unakasoro zako lkn hapa tumeskia upande mmoja wa story.
 
Kwenye mashangazi ndo panachekeshaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
..binti yetu mzuri bado mchanga![emoji1787] ila we jamaa hao wamama mpk wanaanza izo shombo mbele yako jitafakari huwenda una unakasoro zako lkn hapa tumeskia upande mmoja wa story.
Hata Kama ningekua na kasoro zangu,
Hawakutakiwa kunisimanga kwa Maneno yote yale na wanajua nmekwenda kwa ajili ya usuluhishi wa kesi ya wizi wife na kaka ake dukan

Binafs nikishaona msuluhisi keshaanza kua na upande najua kabisa hapa Sina msuluhisi, nmevamia mtumbwi wa vibwego.
 
Hata Kama ningekua na kasoro zangu,
Hawakutakiwa kunisimanga na nmekwenda kwa ajili ya usuluhishi.

Binafs nikishaona msuluhisi keshaanza kua na upande najua kabisa hapa Sina msuluhisi, nmevamia mtumbwi wa vibwego.
Usikanyage tena ukweni/ kwa mashangazi kwanza wao wapo nyumbani
 
Jamaa yangu alikuta mwanamke kasomba kila kitu ndani kasepa. Nilichomwambia wewe funga masikio na macho yaani fanya kama hakuna kilichotokea. Kweli baada ya week mbili mwanamke mwenyewe kamtafuta. Na tunda akamega tena. Cha ajabu hata jamaa mwenyewe akawa hana tena mudi na vitu. Yaani hata kuhoji hakuwa na mpango.

Nakumbuka nilimwambia tu kuanza kumtafuta na kuhangaika nae ni kama kumpa ushindi vitu vinatafutwa yaaani si ishu kabisa.
Baada ya kumpuuza akajiona mjinga[emoji1787]
 
Back
Top Bottom