Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Nachelea kukubaliana na wewe ila pia najikuta nawaza zile story za watu wanaotafuta hela wako bize na mishe za hela tu kumbe sio kweli .


Toka nimeanza kumsoma DeepPond hainipi shida kujua kuwa ni mtu mwenye chenji zake na maisha yanaenda sana

Alafu anatumia muda wake vizur anatupa story mwanzo mwisho na bado hazingui ila njoo kwa wale wa sijui niko na project fulani mara hivi mara vile yaani ni ujinga .

Itoshe kusema jamaa ni best story teller kwangu na pia nitumie muda huu kuappreciate muda wake unaoutumia kushusha story zake hapa.
 
Pamoja sana mkuu DeepPond ; hawa wanawake zetu ni vichomi asikuambie mtu.
 
Niliahidi na nmetimiza
Nasikitika mpk sahv sijamuona jamaa,
Nna iman akiingia atausoma,nisaidien kumtag

Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima aje asome hapa aache woga wa kugawana mali na yule mke wake mali zinatafutwa, mwanamke akitaka habari za kugawana mali ni kumwachia na wengi wakiachiwa baada ya muda wanaangukia pua na kupigia vibaya sana

Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
 
Ila mkuu Bab g &j fanya namna mam g apate kaa ofici Cha kushinda nayo kulikoni kukah kupewa kila kitu


Thesetime akili atakuwa amepata ,hvyo namuombea apewe kamradi kdg asimamie [emoji3]

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Kurud dukan kwangu hapana,
Lile duka nilimkabidhi kijana wa Oda,analisimamia Hadi leo hii

Sema alipopiga Sana kelele nikampa mradi wa bodaboda za mkataba,wanamletea kipande pale nyumbani. Nao ukafa,usimamizi mbovu.

Nowdays anasimamia mradi wa ng'ombe wa maziwa (anauza maziwa) na mradi wa kuuza maji (nna kisima kikubwa Cha maji pale home)

Ndo anapata pesa zake ndogo ndogo za kujikimu akiwa pale pale home[emoji4]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa uliyopitia mtu ambae yupo weak hatoboi.. it takes a lot of courage kurudi na kuwa sawa.
Hakika mkuu,
Sema wife anayo mazuri yke mengi Kias kwamba yaliyopita nishachukulia ya kawaida.

SIKU nikitulia ntaleta baadhi ya visa wife kanifanyia mpk sasa naapreciate kua Kweli nna mke Bora kabisa mwenye upendo wa Kweli usio wa kutilia mashaka.

Tuombe uzima[emoji4][emoji1431]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…