mama D
JF-Expert Member
- Nov 22, 2010
- 19,981
- 35,581
Pamoja na mambo mengine yote una baba bora sanaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nachelea kukubaliana na wewe ila pia najikuta nawaza zile story za watu wanaotafuta hela wako bize na mishe za hela tu kumbe sio kweli .Niseme tu kama kuna mtu bado anafikiri UMUGHAKA ndio msimuliaji bora anakosea.
Hata zile kampeni za kumpigia kura alipoteza muda wake na huenda ni yey alijipigia debe kwa akaunti nyingine.
Angalia huyu mtu smart, anandika uzi mzima anabwaga mnamalizana. Huu mtindo nimeupenda
Kwa mtazamo wangu anaweza kuwa msimuliaji wa pekee kutokea hapa Jf, wengine wote wazee wa itaendelea
Mpaka unajiuliza au anauza? Hapana, sasa shida nini?
Au wanaona raha kubembelezwa?
Big up sana DeepPond
[emoji3][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]daahWe unafikiri nyumbani watakuchekea umetibuana na kijana wa Jakaya Kikwete [emoji3][emoji3][emoji3]
Pamoja sana mkuu DeepPond ; hawa wanawake zetu ni vichomi asikuambie mtu.IKAFIKA KIPINDI
Akawa anakuja dukan anakaa chini na mtoto mgongoni kibarazani analia anaomba msamaha sn nimsamehe sn kwa yote aliyonikosea. Anaahidi atajirekebisha Ni shetani alimpitia.simjibu chochote akichoka kuomba msamaha anaondoka zake.
Kuna siku kashinda dukan asbh mpk saa 11 jioni na mtoto mgongoni anabembeleza. Mpk nafunga anabembeleza anabubujikwa na machozi, nilivofunga nikaenda nyumbani. Usiku kaja, kakuta geti halijafungwa kasukuma kaingia ndani na kwenda dirishan kwangu chumban analia anabembeleza nimsamehe. Nikamkaushia.
Kaenda Hadi dirisha la bi.mkubwa analia kakosa anaomba asamehewe.
Bi mkubwa nae akakausha Ila alivoondoka nikashangaa na asivompenda huruma ikamuingia nae akawa ananisihi nimsamehe turudiane. Nikamwambia bi.mkubwa achana nae uyo,hafai.
Tumeenda ukimya juu ya ukimya,
Wife akadili na mzee, kumbe akawa Anaenda kuomba msamaha ofsin kwa mzee. Mzee alipoona imekua kero akaniita na kunambia uyu mwanamke kila Mara anakwenda ofsn kwake kumuomba msamaha na anadai shangaz zake ndo waliomponza anajutia kilichotokea. Naonaje suala la kumsamehe. Nikasema mzee Mimi simtaki tena. Mzee akasema sawa Kama nmeamua hivyo. Ikaisha.
Baada ya miez 3 tangu Lile vurugu. naendelea na shughuli zangu nishaanza msahau wife, mzee akanambia jumapili tutakua na kikao Cha familia saa 10 mchana usichelewe kurudi uwepo. Nikasema sawa. Nikajua yatakua mambo ya familia yetu tu. Kweli Nmefika nyumbani mapema.
Gafla Niko chumban bi mkubwa kaja nigongea kua MDA tayar nije seblen.
Ile Natoka nafika seblen,nawaona wale shangazi zake wameketi, ikanibidi kurudi zangu chumbani na kukaa kitandani nikajiinamia kwa uchungu. Ikawa Kama wamenitonesha upya kile kidonda .
Mzee kaja kaniinua na kunambia twende seblen kila kitu kitakua sawa.
Kweli nmeinuka kinyonge nmeenda seblen nmekaa na mzee kochi Moja kubwa la Watu watatu.
Gafla shangaz Yao mmoja aliekua na mdomo akaja niangukia chonde chonde nimsamehe kwa yaliyopita.
Mzee akaniangalia usoni, nikaona mzee kama anatuma ujumbe kua anajiskia viby jins mmama yule mtu mzima anavolia. Wale wengine wakawa wanasema samahani yaishe yaishe. Babamkwe nae akasema imefkia mahali wife mpk anataka kujiua nyumbani kwao, alishameza hadi vidonge Mara mbili kajifungia chumbani anataka kujiua yye na mtoto. Wakavunja mlango kumnusuru.
Kama familia wanaomba radhi, wametukosea Sana, wanaomba radhi Sana. Anawasiwasi wanakoelekea atampoteza binti Yake na mjukuu wake, binti yake anazurula kila siku mjini na mtoto mgongoni anasema anaaga kaja kuomba msamaha na hasamehewi na kichwa chake kishachanganyikiwa sahv kilivyo tusije kushangaa kagongwa na Gari yeye na mtoto wote wamefariki. Mzee kaniangalia usoni.
Sijakaa sawa, kumbe wife alijificha jikoni nae kaja analia Hadi kamasi macho yamevimba na mtoto wake mgongoni kaniinamia anaomba msamaha. Mzee kaniangalia Tena usoni Tena na kunipa ishara ya nimsamehe. Nikatikisa kichwa kukubali.
Mzee kamuinua wife na kumkalisha kushoto kwake, Mimi kulia kwake.
Akasema kua Hawa wote Ni wanangu. Nyie wote nendeni kila kitu kitakua sawa. Basi wageni wale wakatawanyika.
Tukabaki familia yetu, wife na mtt. nikawa ndani ya siku 2 simuongeleshi.
Bi mkubwa akanisihi yaishe niongee na mzazi mwenzangu, mzee nae akanisihi yaishe bhana. Basi siku ya 3 wife kaja chumbn kwangu kavaa kimitego analia anaomba msamaha.
Kwasababu moyoni nishamsamhe na nilivommiss siku nyng sijapiga show.
Basi ugomvi wetu ukaishia pale.
Baada ya wiki pale home,
Mzee akatutaftia nyumba nyingine kubwa zaidi na kutupangishia kua tukakae uko pale kwa wapangaji tuhame. Alivotupeleka kule tunakutana na vile vitu vyetu tulivosomba na canter vipo vimerundikwa TU sebleni. Wife akaanza kuvipanga upya na maisha yakarejea Kama zamani.
TANGU HAPO miaka mingi imepita na WIFE HAJAWAI TENA KUTAMKA KAULI ILE YA TUGAWANE MALI.
Na pia,
Tangu ugomvi huo alirudi kua mama wa nyumbani na Hadi leo hii nnapoleta Uzi huu hajawai tena kuuza duka langu lolote.
Pia,
Nilikata mguu kabisa na magomeni kule kwa mashangazi waswahili wale.
Japo wanadai ugomvi ulishaisha ila nmekua karibu na ndugu wa wife kule upande wa mama ake na upande wa baba ake, Maelewano mazur Nmebaki na baba mkwe wangu TU. wengine ni salamu TU,kila mtu kivyake.
Nihitimishe kwamba
kile kipind kilipita na kilikua Cha mafunzo sn kwetu kutukomaza na Siwez kumhukumu sn wife maana umri wake ulkua bado mdogo sn, afu mazingira ya uswahili alikokulia kwa mashangazi wale yalimharibu.
Nashkuru upande wa mama ake walinisaidia sn kumshape wife akatulia akawa mcha mungu na MKE mzur Sana.[emoji1431]
Kwasasa
MKE wangu kiumri na kitabia amekua sana. Naweza kusema Ni MKE bora kabisa maishani, naeweza kukaa mbele ya Wanaume wenzangu waliooa nami nakajivunia kua Nmeoa mke bora kabisa na pure wife material mama wa watoto wangu[emoji4]
Na huwa nawaza Sijui ningekaza ningempoteza kipind kile sijui ingekuaje maisha yangu, maana kila nnakogusa Ni chenga tupu. Michepuko wote nilonao, vichwa maji tupu, mamaJ inclusive.
KINGINE,
Najivunia Sana baba mkwe wangu nilie nae, Ni mkwe asiyependa mambo ya kipuuzi kabisa na alisaisaidia Sana kumshape wife miaka 5 ya changamoto ya ndoa yangu.[emoji1431]
SIKU NIKITULIA NTASHUSHA TENA KISA kingine KILICHONIFANYA NIJIVUNIE HUYU BABA MKWE WANGU KATIKA KUMNYOOSHA WIFE WANGU[emoji4]
ASANTENI SANA WAKUU[emoji1431]
#######mwisho######
NB:
Kuna la kujifunza Hapa wakuu
Uzi huu nmeuleta baada ya kuguswa na Uzi wa mdau mmoja mwenye kisa Kama changu, ugomvi wa kibiashara na mkewe, Kisha mkewe akadai talaka wagawane Mali.
NAWASILISHA[emoji1431]
Acha kabisa mkuu,Pamoja sana mkuu DeepPond ; hawa wanawake zetu ni vichomi asikuambie mtu.
Niliahidi na nmetimizaSafi sana mkuu DeepPond nilikua nasubiri niusome huu uzi kama ulivyoahidi kwenye uzi wa yule Msukuma wa Geita na mke wake kwamba utaleta kisa chako
Sent from my SM-J111F using JamiiForums mobile app
Shukran sister,Pamoja na mambo mengine yote una baba bora sanaaa
Lazima aje asome hapa aache woga wa kugawana mali na yule mke wake mali zinatafutwa, mwanamke akitaka habari za kugawana mali ni kumwachia na wengi wakiachiwa baada ya muda wanaangukia pua na kupigia vibaya sanaNiliahidi na nmetimiza
Nasikitika mpk sahv sijamuona jamaa,
Nna iman akiingia atausoma,nisaidien kumtag
Sent using Jamii Forums mobile app
Shukran Sana for appreciation mkuu,Deep pond,deep pond,deep pond nimeikuta mara tatu ww jamaa ni mwamba kweli kweli nakukubali sana mwamba na story zako zinamafunzo sana keep it up mwamba
Napenda fujo ila mpaka mtu alianzishe siwezi kumuanzishia mtu from no whereHa ha ha...kwann mkuu[emoji4]
Kurud dukan kwangu hapana,Ila mkuu Bab g &j fanya namna mam g apate kaa ofici Cha kushinda nayo kulikoni kukah kupewa kila kitu
Thesetime akili atakuwa amepata ,hvyo namuombea apewe kamradi kdg asimamie [emoji3]
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hakika mkuu,Kwa uliyopitia mtu ambae yupo weak hatoboi.. it takes a lot of courage kurudi na kuwa sawa.
Comments za Extrovert huwa zinachekesha balaa [emoji1787]hahahaha nimecheka kwa nguvu
Wa kawaida mkuu, haikua kishua kivile kwa miaka ya early 2000s[emoji4]Ndoa na ziheshimiwe esp ukiolewa na mtoto wa kishua kama Deeppond!