Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Khaa maji yangu ya kuoga yamepoa nikisoma hiki kisa..
Hongera kwa kuijenga familia kwa gharama kubwa
Ha ha ha....
pole Sana mkuu kwa kukupotezea Muda wako

Ujue Nilitamani sn niifupishe msome juu juu TU, ila nikahofia comments za wadau maswali maswali khs background ya wife n.k katikati ya thread yatakua mengi mno

Kwahyo nikaamua kuielezea yote tangu mwanzo mpk mwisho wa tukio mkuu[emoji4]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndoa zina Mambo mengi sana. Ukioona watu wanazeeka pamoja ujue wamepitia changamoto nyingi
 
Yuko poa sana DeepPond, anatuburudisha na kutupa elimu kwa pamoja.
Ujue mkuu huwa napenda sna kusummarize story,ila huwa sipend sn maswali meng ktk comments.

Ili mtu Kama anachangia au anashaur ajue full mkanda mzima.

Ndo maana nyuz zangu sometimes zinakua ndefu Sana.

Sorry sn Kama nawakwaza[emoji1431]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Shukran Kama vina mvuto,
Sometimes najskia vby sn wadau wanavolalamika kua naleta nyuz ndefu mno. Nawaaombeni Mniwie radhi tafadhali[emoji1431]

Sent using Jamii Forums mobile app
We leta tuu wasomaji wa nyuzi ndefu tupo..mimi ni msomaji sanaa..yani napenda kusoma huwa sina uvivu..tena siku hz baada ya kukua nimepunguza nilikua nikienda kwa mtu nikikuta magazeti hata ya mwkaa jana ntakusanya yotee na nitayasoma...novel sasa naweza maliza kwa siku 3..
 
Mtu Kama unajiamini ulitafuta,
Hata zikipotea zitatafutwa tena nyngn

Uoga wa kupotezea pesa mwanaume haufai
Watu tushakula hasara nyng sn Kias kwamba hasara kwetu ni kawaida.

Tunachohofia TU Ni hasara ya roho TU,
Maana hiyo haina mbadala wake daima.

Jamaaa anapaswa kua na Moyo mkuu ashinde hivyo vitisho vya wife wake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…