Mke aliomba talaka tugawane Mali, nilichomfanyia hajawahi kurudia tena

Walimuona hana akili, sema kwa hili saga mama G hata akiambiwa kuwa unachepuka hawezi fanya lolote. Ile taizi ya fuso haitakaa ifutike kichwani mwake hadi siku anavuta.
Ha ha ha...
Moto niliomuwashia alitaman ardhi ipasuke
Sometimes nahs anajua nachepuka,
ila sipendi nifanye live mpk ajue kua nachepuka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyuzi zako zote ni Masterpiece’ zaweza tumika tengeneza filamu bora kabisa.

Hongera sana.
 
Hata Mimi wangu alikuwa na hiyo tabia ugomvi kidogo tuachane na tugawane mali, ili kuepusha kelele na ujuaji mwingi toka hapo sijawahi mshirikisha kitu tena, nimenunua ardhi sana na kuna kiasi kizuri sana benki hajui na nilishaapa na kuweka nadhiri kuwa hatajua kitu chochote zaidi ya vile alivyokuwa ananiimbia wimbo tugawane, yeye siku pekee ambayo anakuja kujua ni siku ambayo mm nimetangulia mbele ya haki/kufa ndo hapo atapojua maana nategemea kuandika wosia alafu yeye hataridhi kitu toka kwangu zaidi ya vile alivyokuwa ananiimbia wimbo.
 
Wacha na mimi nicomment...

Siku zote nimekuwa nikijifunza namna ya kudili na michepuko kupitia mikasa yako na Mama J

Ila leo nimejifunza Busara kutoka kwa mzee wako, hayo mengine yote uliyomfanyia Mama G na misimamo hizo ni sifa zangu

Mwisho kabisa ningependa na mimi nikizeeka niwe na Busara kama Mzee wako,

kiukweli mzee wako ni mfano wa kuigwa
 
na nimecheka sana yaani kwenye 14 M ukapewa 600k?nimecheka jamani,pole sana
 
Hii story inatufundisha wanaume tuwalee watoto wetu hasa wa kiume ili tuwafundishe jinsi ya kufanya majukumu na maamuzi ya kiume, Hawa watoto wa kiume wanaolelewa na single mother ndio wanakua na tabia za kike na kushindwa kusimamia familia zao
 
Hii story inatufundisha wanaume tuwalee watoto wetu hasa wa kiume ili tuwafundishe jinsi ya kufanya majukumu na maamuzi ya kiume, Hawa watoto wa kiume wanaolelewa na single mother ndio wanakua na tabia za kike na kushindwa kusimamia familia zao
Umeongea ukweli mtupu mkuu,
Bila misimamo ndoa inageuka gereza lako mwnyw

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…