Mke aliyefiwa na mama yake mzazi lazima amuombe ruhusa mumewe kabla ya kwenda msibani? Je yapi ni masharti yanahusika?

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika hapo juu

Je, ni lazima mke amuombe ruhusa mumewake Ili aweze kwenda Kwa msiba wa mama yake mzazi? Je Mumewe anayo haki ya kumkatalia ombi lake?

Masharti gani? Aya zipi?

Wenye ilimu na wanatheolojia mkuje mtupe madini
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika hapo juu

Je ni lazima mke amuombe ruhusa mumewake Ili aweze kwenda Kwa msiba wa mama yake mzazi? Je Mumewe anayo haki ya kumkatalia ombi lake?

Mke akifiwa na Mama Mzazi, huo msiba Mume unamhusu kabisa. Kwani naye amefiwa na Mama Mkwe..

Sijaelewa hiyo Ruhusa wanaombana ya nini wakati ni msiba unawahusu wote?
 
Misiba hutukuta katika hali yoyote kunamsiba unaweza kuwakuta huku mkiwa mbali kifamilia mf. Mume yuko mbali kikazi hivo inakua si rahisi yeye kufika haraka msibani.hivo basi ikiwa mama watoto wako atawahi kupata tasrifa ya msiba wa baba yake nishart ahakikishe amekujulisha kabla yakufunga nyumba nakupandisha watoto kwenye gari kwenda msibani.
Hii nikanuni na desturi nzima yamaisha nasio vinginevyo.
Naikitokea hakuna mawasiliano baina yamume namke walio naubali kidogo yampasa mwanamke afanye subra walau siku3 huku akitafuta mawasiliano namumewe ilikumpa taarifa yakuondoka.
Nawewe mwanaume nihaki ya msingi kumpa ruhusu mkeo nakushiriki moja kwamoja kwenye majanga yatakayo wagusa wanafamilia wote.
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika hapo juu

Je ni lazima mke amuombe ruhusa mumewake Ili aweze kwenda Kwa msiba wa mama yake mzazi? Je Mumewe anayo haki ya kumkatalia ombi lake?

Masharti gani? Aya zipi?

Wenye ilimu na wanatheolojia mkuje mtupe madini
Hata mume lazima aende huyo mume hana akili, tuseme anatatizo la afya ya akili
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika hapo juu

Je ni lazima mke amuombe ruhusa mumewake Ili aweze kwenda Kwa msiba wa mama yake mzazi? Je Mumewe anayo haki ya kumkatalia ombi lake?

Masharti gani? Aya zipi?

Wenye ilimu na wanatheolojia mkuje mtupe madini
Prof Assad alimkatalia Mke wake kuhudhuria msiba wa mama yake.
 
Mtoa mada analenga kitu kingine kwenye swali lake! Sema amekuwa si muwazi!

Hoja yake ni kuhusu utii wa mke kwa mume, hasa kwenye Uislam.
Yes, uislam unamtaka mke kuomba approval ya mumewe anapotaka kwenda popote!

Washereheshaji wakakazia kwa kusema hata kama ni msibani kwa mama yake!

Hoja kuu hapa ni utii wa mk kwa mume! Sio swala la msiba wa nani!

Kwa hali ya kawaida kukiwa na taarifa ya mama yake mke kufariki, kabla mke hamjafanya lolote lazima atamtaarifu mumewe, na hakuna mume atakataa hili!

Labda ikiwa ni ndoa ya washenzi!
 
Mwanamke akishatoka Kwao mamlaka na amri zote zinakua chini ya mwanaume. Labda kama ilishawahi kuona kama mwanaume anaolewa na mwanamke.
 
Kwa mila zetu taaarfa ya msiba anatumiwa mkuu wa kaya yani mwanaume. Mme ndiye anampa taarifa ya msiba mke wake then wanaongozana kwenda msibani. Sasa taarifa ikifikia kwa binti yao ujue wewe bado hawakutambui kama mkwe
 
Misiba hutukuta katika hali yoyote kunamsiba unaweza kuwakuta huku mkiwa mbali kifamilia mf. Mume yuko mbali kikazi hivo inakua si rahisi yeye kufika haraka msibani.hivo basi ikiwa mama watoto wako atawahi kupata tasrifa ya msiba wa baba yake nishart ahakikishe amekujulisha kabla yakufunga nyumba nakupandisha watoto kwenye gari kwenda msibani.
Hii nikanuni na desturi nzima yamaisha nasio vinginevyo.
Naikitokea hakuna mawasiliano baina yamume namke walio naubali kidogo yampasa mwanamke afanye subra walau siku3 huku akitafuta mawasiliano namumewe ilikumpa taarifa yakuondoka.
Nawewe mwanaume nihaki ya msingi kumpa ruhusu mkeo nakushiriki moja kwamoja kwenye majanga yatakayo wagusa wanafamilia wote.
Saafi kabisa!!
 
Back
Top Bottom