The only
JF-Expert Member
- May 19, 2011
- 10,805
- 14,181
We endelea na kusikiliza akili za mitume na manabii wakati walikuwa hawajasoma ,choon walikuwa wanaenda na nyasi,na walikuwa wanalala na mbuzi ,kisha wakawa wanawanyima elimu wanawake na kuwauza kama wanyama.Mume sio wa kupewa taarifa ndio maana ndoa zinawashinda,wakupewa taarifa ni hawala sio mume
Amka hizo zama hazipo wake zetu kweli sisi ni viongozi wao ila wa kidemocrasia sio kidictata tunajadiliana masuala .hata ww mwanaume unapaswa kila kitu umpe taarifa mkeo.