Mke aliyefiwa na mama yake mzazi lazima amuombe ruhusa mumewe kabla ya kwenda msibani? Je yapi ni masharti yanahusika?

Mume sio wa kupewa taarifa ndio maana ndoa zinawashinda,wakupewa taarifa ni hawala sio mume
We endelea na kusikiliza akili za mitume na manabii wakati walikuwa hawajasoma ,choon walikuwa wanaenda na nyasi,na walikuwa wanalala na mbuzi ,kisha wakawa wanawanyima elimu wanawake na kuwauza kama wanyama.
Amka hizo zama hazipo wake zetu kweli sisi ni viongozi wao ila wa kidemocrasia sio kidictata tunajadiliana masuala .hata ww mwanaume unapaswa kila kitu umpe taarifa mkeo.
 
Kwani Kusoma ninini? Hujioni ulivyo mbumbu, unajua theories of education ilipo anzia, kukalilishwa ujinga huo ulio ujaza kuchwan mwako usio kusaidia ndio kufanye mwanaume na mwanamke wawe sawa? Mitume hao hao ndio walio kupa hiyo elimu ya hovyo ndio maana unawasoma wao na mambo yao huko shuleni unako ringia

Mwanamke ni mwanamke tuu hato kuja fanana na mwanaume kwa namna yeyote ile huwezi fananisha kinacho ingia na kinacho ingizwa ndio maana kazi yako ni kunyonyesha mwanaume hana chuchu mnafananaje?
 
Ndo maana unaona mataifa makubwa wanawaamini wanawake nafasi nyeti sio kwa hisia za hao ambao hawakustaarabika bali systematic research wanawake wanauwezo mkubwa kuconcentrate kuliko wanaume .
Dunia ilivo kila kizazi kipya kinadaiwa kuwa bora kuliko vilivopita kwa kuacha ujinga na kushika mema ,leo hii wanawake wana ma phd wanaongozq mataasisi complex huwezi ishi nao kwa polojo za mitume na manabii.au hujui waarabu na waisrael walikuwa wakisafiri wanafunga wanawake kamba shingoni na kumfunga kwenye mti?? Unataka tuishi hivo?? Mke ni patner mahusiano yenu ni ya rais na waziri mkuu.sio raisi na afisa maendeleo kata.
Mm sijachagua pia lugha ya kukutukana ni namna za kutostaarabika pia walizotumiq mitume na manabii zama hizi tunapingana kwa hoja na kuheshimiana
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kichwa cha habari chahusika hapo juu

Je ni lazima mke amuombe ruhusa mumewake Ili aweze kwenda Kwa msiba wa mama yake mzazi? Je Mumewe anayo haki ya kumkatalia ombi lake?

Masharti gani? Aya zipi?

Wenye ilimu na wanatheolojia mkuje mtupe madini
Sio ruhusa , maana jambo Hilo ni la familia awezi kwenda peke yake inatakiwa na mme waende wote
 
Back
Top Bottom