Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 3,585
- 8,106
Mke akifiwa na Mama Mzazi, huo msiba Mume unamhusu kabisa. Kwani naye amefiwa na Mama Mkwe..Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Je ni lazima mke amuombe ruhusa mumewake Ili aweze kwenda Kwa msiba wa mama yake mzazi? Je Mumewe anayo haki ya kumkatalia ombi lake?
Masharti gani? Aya zipi?
Wenye ilimu na wanatheolojia mkuje mtupe madini
Hata mume lazima aende huyo mume hana akili, tuseme anatatizo la afya ya akiliWadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Je ni lazima mke amuombe ruhusa mumewake Ili aweze kwenda Kwa msiba wa mama yake mzazi? Je Mumewe anayo haki ya kumkatalia ombi lake?
Masharti gani? Aya zipi?
Wenye ilimu na wanatheolojia mkuje mtupe madini
Prof Assad alimkatalia Mke wake kuhudhuria msiba wa mama yake.Wadau hamjamboni nyote?
Kichwa cha habari chahusika hapo juu
Je ni lazima mke amuombe ruhusa mumewake Ili aweze kwenda Kwa msiba wa mama yake mzazi? Je Mumewe anayo haki ya kumkatalia ombi lake?
Masharti gani? Aya zipi?
Wenye ilimu na wanatheolojia mkuje mtupe madini
Mwanamke akishatoka Kwao mamlaka na amri zote zinakua chini ya mwanaume. Labda kama ilishawahi kuona kama mwanaume anaolewa na mwanamke.
Ni ukweli usiopingika kabisaNa hakuna Mwanamke mwema àmbaye Mumewe atamzuia kwenda kumzika Mamaye alafu asidai Talaka.
Ni ukweli usiopingika kabisa
Ni kitu ambacho hakiwezekani kabisa, labda hiki kizazi Cha 2000'sMke naye hawezi kwenda msibani Bila Kutoa tàarifa Kwa Mumewe. Labda awe hamnazo
Saafi kabisa!!Misiba hutukuta katika hali yoyote kunamsiba unaweza kuwakuta huku mkiwa mbali kifamilia mf. Mume yuko mbali kikazi hivo inakua si rahisi yeye kufika haraka msibani.hivo basi ikiwa mama watoto wako atawahi kupata tasrifa ya msiba wa baba yake nishart ahakikishe amekujulisha kabla yakufunga nyumba nakupandisha watoto kwenye gari kwenda msibani.
Hii nikanuni na desturi nzima yamaisha nasio vinginevyo.
Naikitokea hakuna mawasiliano baina yamume namke walio naubali kidogo yampasa mwanamke afanye subra walau siku3 huku akitafuta mawasiliano namumewe ilikumpa taarifa yakuondoka.
Nawewe mwanaume nihaki ya msingi kumpa ruhusu mkeo nakushiriki moja kwamoja kwenye majanga yatakayo wagusa wanafamilia wote.