Mke aliyemuua Mwalimu huko Kilombero apandishwa kizimbani

Mke aliyemuua Mwalimu huko Kilombero apandishwa kizimbani

Yaani, labda huenda alifata show. Ila sasa kaharibu maisha yake yote. Anawaacha watoto, walelewe na ndugu. Ngono inakatisha ndoto zote!!!
Yani ndoto zotee..kwa sbb yy alichukulia simpo tuu..kwamba nitakua na mchepuko wangu boda mr akijua atajijua kila mtu ataishi maisha yake kumbe na shetani nae anamwangalia tuu anasema utajua hujui huyo hutakaa nae na mume hutamuona tena...ukijua ya mbeleni tutaogopa sana...ni bora uwe unaisikiliza ile sauti ya ndani kabisa inayokwambia acha...
 
Kweli sauti ya ndani ndiyo roho Mtakatifu mwenyewe. Hii ya kuendekeza kichwa na chini. Matokeo yake ni haya, ila watu wanaotoa uhai wa wenzao. Ni wamezaliwa hivyo? Ni pepo inawashika? Ama ni kitu gani? Maana mpaka binadamu anakata roho mmh!!!
 
fate
 
MAHAKAMA YA WILAYA YA KILOMBERO MKOANI MOROGORO IMEWAPANDISHA KIZIMBANI NA KUWASOMEA SHTAKA WATU WA TATU AKIWEMO JOVINA STEVEN MWEKYA (33)MKAZI WA MANG'ULA AMBAYE NDIYE MKE WA MAREHEMU MWALIMU TUNGARAZA,MUSA AMANI MWAKYOMA ( 28)MKAZI WA MANG'ULA NA TADEI SALES MWINUKA( 40) MKAZI WA MANG'ULA KWA KOSA LA MAUAJI

Wakisomewa shtaka hilo na mwendesha mashtaka wa serikali DASTAN WILLIAM mbele ya hakimu wa wilaya ya Kilombero MHE. REGINA FUTAKAMBA amesema mnamo usiku wa June,2,2024 wakati marehemu akiwa amelala chumbani ,watuhumiwa hao walipanga njama ya na kumvamia chumbani kwake na kumpiga na kitu kizito kichwani hivyo imepelekea kusababisha umauti

Aidha baada ya kusomewa shtaka hilo watuhumiwa hao wamerudishwa Mahabusu mpaka tarehe 25,June,2024 itakapotajwa tenaView attachment 3017288

Team kataa ndoa wanazidi kupata points za kugomea kuoa au kuolewa.
Hata hawaoneshi sura za majuto! Ila baada ya kukaa jela kwa muda mrefu, naamini akili zitawakaa tu sawa.

Natamani huyo boda na mwenzake wapelekwe gereza la kilimo Idete ili wakabadilishe mazingira. Halafu huyo mwanamke abakie tu pale Kiberege.
 
Kweli sauti ya ndani ndiyo roho Mtakatifu mwenyewe. Hii ya kuendekeza kichwa na chini. Matokeo yake ni haya, ila watu wanaotoa uhai wa wenzao. Ni wamezaliwa hivyo? Ni pepo inawashika? Ama ni kitu gani? Maana mpaka binadamu anakata roho mmh!!!
Mkuu hua nawaza pia nadhani ufahamu wao hua umekadatwa na ibilisi kwa wakati huop
 
Kuna mambo yanahuzunisha sana! Mwanamke una miaka 33! Tena ni mke wa mwalimu mkuu wa pale S/M Signal (inataamkwa Zignali na wenyeji)! Umezaa watoto wawili na huyo mume wako!

Ila katika hali ya kushangaza, unaamua kutembea na bodaboda mwenye umri wa miaka 28! Na mnafikia mpaka hatua ya kupeana mimba na kuzaa mtoto wa 3 na huyo bodaboda wako!! Umeonywa uachane na huyo bodaboda wako, lakini wapi!!

Na badala yake unaamua kumuua mume wako ili ufaidi vizuri maisha na huyo bodaboda wako! Kwa kutumia akili kisoda mlizojaliwa kwenye vichwa vyenu, mnatekeleza kweli hayo mauaji! Na mwisho wa siku wote mnaishia jela!!
 
Huyu dada na urembo wake kwel akaamua kumuua mkewe kisa bodaboda, haya maisha yana maajabu sana.
 
Mahakama ya Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro imewapandisha kizimbani na kuwasomea shtaka watu watatu akiwemo Jovina Steven Mwekya (33), mkazi wa Mang'ula ambaye ndiye mke wa marehemu Mwalimu Tungaraza, Musa Amani Mwakyoma (28), mkazi wa Mang'ula, na Tadei Sales Mwinuka (40), mkazi wa Mang'ula, kwa kosa la mauaji.

Wakisomewa shtaka hilo na mwendesha mashtaka wa serikali, Dastan William, mbele ya Hakimu wa Wilaya ya Kilombero, Mhe. Regina Futakamba, amesema mnamo usiku wa Juni 2, 2024, wakati marehemu akiwa amelala chumbani, watuhumiwa hao walipanga njama ya kumvamia chumbani kwake na kumpiga na kitu kizito kichwani, hivyo kusababisha kifo chake.

Aidha, baada ya kusomewa shtaka hilo, watuhumiwa hao wamerudishwa mahabusu mpaka tarehe 25 Juni, 2024, itakapotajwa tena.

PIA SOMA:
- Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

Team kataa ndoa wanazidi kupata points za kugomea kuoa au kuolewa.
CCM ina wanachama wauwaji
 
Mkuu hua nawaza pia nadhani ufahamu wao hua umekadatwa na ibilisi kwa wakati huop
Kwa kweli, maana haiingii akilini mtu na akili zake, aamue kuuwa mume,baba wa watoto wake. Kisa mapenzi ya nje. Ni shetani anawashika akili. Now akili zimewarudia watashaa
 
Back
Top Bottom