Katika sheria za dini za kikiristo ni kwamba hurusiwi kuongeza mke na kifo pekee ndicho cha kuwatenganisha, kinyume na hapo ni nje ya sheria za ukristo.
Sasa inapotokea mfano mke wako ama mume wako anafungwa jela miak 30 ama hata kifungo cha maisha na bado hamna hata mtoto, ndoa bado ilikuwa mbichi, hapo hii hali inatatuliwa vipi?
Haiwezekani Mungu aweke sheria ya kukubana sehemu flani na asiweke mlango wa kutokea, hizi sheria za kuoa ni za viongozi wa makanisa na sio maandiko,
MUHIMU: Wanaokwenda jela sio wote wenye hatia, wengine wamebambikiwa
Dini iliweka wazi pia tuoe ili kuondokana na uzinzi, sasa katika hii hali mwanaume anaweza kukaa miaka 30 bila kupata unyumba ?